Sheikh wa Mkoa wa Dar: Makonda kalikoroga mwenyewe, nisihusishwe

Mlamba viatu,kaza nafasi bado zipo
 
Eti tukiacha neno "KARIKOROGA" kwanini tuliache sasa?
 

Acha ujinga wewe makao makuu kayajenga makonda!? Nakubaliana na wewe kwajambo la Shehe kukosea maneno ya kuzungumza ya kistaarabu
 
Hilo jengo la Bakwata kamjengea huyo Shehe? Na hata kama kawajengea ndio ilikuwa kifunga mdomo? Halafu hilo jengo limeshakamilika? Hata kama Makonda atapewa nafasi zote hizo, bado huyo shehe kaongea ukweli.

Jengo limejengwa na ufalme wa Morocco
Makondo wp na wp !? Huyo mayalla kavurugwa na matokeo ya kura za maoni za Kawe
 
Umechelewa sana kuzitambua lugha zisizo za KIONGOZI WA DINI, maana umesubiri hadi alipostrike CallMeJ. Lakini nikukumbushe ndugu Kada wa CCM, huyu mhishimiwa wa imani sio wa mchezo mchezo kiasi cha wewe kumkoromea, huyu sio wa kuwaambia omba omba waende kuhiji halafu wamgomee..., huyu akiamua kumtoa pepo anamtoa kweli. We ushamsikia Sistaetu akiporomosha vijembe siku za karibuni?

Pashikaliiiiiiiii, asante kwa dokezo la mrithi wa Yangachawene, lakini hujatwambia homeboy mwingine atatua wapi. Namzungumzia Bwana Amfifiro. Mi ningeshauri (ushauri tu lkn, msinitoe nje ya mji mkanipiga mawe) kwamba kwa kuwa Amfifiro ashazoea kuchunga kondoo, basi apewe tigwa, pundamiraba, simba na kutro-mwitu awachunge, halafu yule wa Nzige arudi kutibu watu Sokoture
 
Jicho lako linauangalia uchocho kanakwamba ni sehemu mbaya, ya hovyo na haifai kuwepo.
Anyway wahuni na wakaa vichochoroni hukuijua lugha yao UKAAMBULIA KURA 2 (sema "MBILI")😁😂
 
100%
 
Huna lolote wewe mataga sheikh kazungumza vizuri sana na kwenda straight to the point. Nasikia ilichukua form ya ubunge, vipi ulipita au umekula spana ya kukazia injini ya meli?
 
Very unfortunately this step was long overdue!.
P
 
Yu wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…