Sheikh wa mkoa wa Dar (Bakwata) amshukia Mbunge

Mbunge wa Konde Khatib Said Haji (CUF) amemtaka Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kujitafakari na kujipima kama chombo anachokiongoza cha Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kipo kwa ajili ya kuwalinda na kuwasaidia waumini wa dini hiyo au kimegeuka chombo cha kuwatetea wanasiasa hususani wa CCM na serikali yake.

Hivi karibuni Sheikh Salum alikaririwa na gazeti mmoja (siyo NIPASHE), akiwataka Waislamu nchini kumpuuza Mbunge huyo kwani ni mfitinishaji kwa Waislamu.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge, Haji alisema licha ya Bakwata kuwa ni chombo cha kutetea maslahi ya Waislamu na kuwaweka katika masuala ya kiroho lakini kutokana na uongozi mbovu kwa sasa chombo hicho kimegeuka kuwa ni mtetezi wa viongozi wa kisiasa na kuwakingia kifua viongozi wa serikali.

Alisema amelazimika kutoa kauli hiyo kufuatia Sheikh Salum kumwita mbunge huyo mfitini kutokana na kutokubaliana na utendaji wa chombo hicho ambacho kwa sasa kinaonyesha kukiuka maadili ya Bakwata na kujiingiza katika siasa.

"Bungeni niliwahi kusema kuwa Bakwata ni taasisi ya kinafiki kwa waislamu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];kauli yangu hii itabaki kuwa pale pale na wala sitoibadilisha," alisema na kuongeza:

"Nasema kuwa viongozi wengi wa Bakwata kazi yao kubwa ni kusubiri kupokea kondoo kutoka Uarabuni kwa ajili ya kuchinja huku wakijinufaisha wao viongozi badala ya kuangalia ni jinsi gani ya kuwasaidia waumini wa dini ya Kiislamu."

Alisema waumini wa dini hiyo wanatakiwa kumpuuza Sheikh huyo kutokana na kauli zake ambazo anazitoa juu yake (Haji).

Chanzo:Nipashe
Huyu Musa Salumu kwanini asijiuzulu tu ?
 
images(3).jpg
Daaaaadek! anaonekana kama mtu vile! Kumbe mpenda washer (washeli)
 
apigweeeee kote kote mbona na yy anawapiga kote kote wan....awake
 
Hivi waislam tunasubir nini kuandamana kumwondoa huyu muasherati. Waislamu tunaibishwa na kudhalilishwa na huyu mpuuzi
 
Mnashangaza kweli nanyi! Kamtoeni kwenye mimbari ijumaa kama kweli nanyi hamfanani naye kimatendo!
 
AKIJICHANGAYA TU SIKU KUSWALISHA AJUE KANIPA KESI COZ LAZIMA NIMTOE HALAFU NIMPASUE.TULIOSOMA KINONDONI MUSLIM SHULE YA BAKWATA O LEVEL TUNAMJUA TENA UCHAFU WAKE WA SASA HIVI UNA AFADHALI MAANA ZAMANI ALIKUA ANALIWA NA WENGINE WALIKUA WAKIMUONA ANASWALISHA WALIKUA WANATOKA WANASWALI PEKE YAO
kwa una maanisha jamaa analiwa kiboga???
 
AKIJICHANGAYA TU SIKU KUSWALISHA AJUE KANIPA KESI COZ LAZIMA NIMTOE HALAFU NIMPASUE.TULIOSOMA KINONDONI MUSLIM SHULE YA BAKWATA O LEVEL TUNAMJUA TENA UCHAFU WAKE WA SASA HIVI UNA AFADHALI MAANA ZAMANI ALIKUA ANALIWA NA WENGINE WALIKUA WAKIMUONA ANASWALISHA WALIKUA WANATOKA WANASWALI PEKE YAO
Kaka! Taratibu kidole na jicho!
 
Mbunge wa Konde Khatib Said Haji (CUF) amemtaka Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kujitafakari na kujipima kama chombo anachokiongoza cha Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kipo kwa ajili ya kuwalinda na kuwasaidia waumini wa dini hiyo au kimegeuka chombo cha kuwatetea wanasiasa hususani wa CCM na serikali yake.

Hivi karibuni Sheikh Salum alikaririwa na gazeti mmoja (siyo NIPASHE), akiwataka Waislamu nchini kumpuuza Mbunge huyo kwani ni mfitinishaji kwa Waislamu.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge, Haji alisema licha ya Bakwata kuwa ni chombo cha kutetea maslahi ya Waislamu na kuwaweka katika masuala ya kiroho lakini kutokana na uongozi mbovu kwa sasa chombo hicho kimegeuka kuwa ni mtetezi wa viongozi wa kisiasa na kuwakingia kifua viongozi wa serikali.

Alisema amelazimika kutoa kauli hiyo kufuatia Sheikh Salum kumwita mbunge huyo mfitini kutokana na kutokubaliana na utendaji wa chombo hicho ambacho kwa sasa kinaonyesha kukiuka maadili ya Bakwata na kujiingiza katika siasa.

"Bungeni niliwahi kusema kuwa Bakwata ni taasisi ya kinafiki kwa waislamu&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG];kauli yangu hii itabaki kuwa pale pale na wala sitoibadilisha," alisema na kuongeza:

"Nasema kuwa viongozi wengi wa Bakwata kazi yao kubwa ni kusubiri kupokea kondoo kutoka Uarabuni kwa ajili ya kuchinja huku wakijinufaisha wao viongozi badala ya kuangalia ni jinsi gani ya kuwasaidia waumini wa dini ya Kiislamu."

Alisema waumini wa dini hiyo wanatakiwa kumpuuza Sheikh huyo kutokana na kauli zake ambazo anazitoa juu yake (Haji).

Chanzo:Nipashe
Shekh anapenda wanawake weupe, aiseeeeeeee
 
AKIJICHANGAYA TU SIKU KUSWALISHA AJUE KANIPA KESI COZ LAZIMA NIMTOE HALAFU NIMPASUE.TULIOSOMA KINONDONI MUSLIM SHULE YA BAKWATA O LEVEL TUNAMJUA TENA UCHAFU WAKE WA SASA HIVI UNA AFADHALI MAANA ZAMANI ALIKUA ANALIWA NA WENGINE WALIKUA WAKIMUONA ANASWALISHA WALIKUA WANATOKA WANASWALI PEKE YAO
Jihadi au sio[emoji3]
 
Back
Top Bottom