Sheikh wa kariakoo:-

kamkoda

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
396
71
Wakati polisi wakiendeleza libeneke kwa walioandamana jijini hivi karibuni, sheikh mmoja aliposalimiwa asalaam aleikum kwa mshangao mkubwa alijibu kwa sauti 'milele amina' na kisha kuchapa mwendo bila kugeuka...hii ni dhahiri kichapo kilibamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom