The one who is kobaz and eats wali kwa fujo😂😂😂Naomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
Elimu dunia hana ni either form four au std 7ELIMU na uelewa wake ukoje?
Asante mkuu umemaliza kiu yangu bila offence Kwa Imani yeyote.ni slang ya mtaan miaka 90s kukiwa na sherehe za harusi maulidi au hitima amabako hupikwa PILAU
ndo utakuwa masela wanavaa baraghashia na kanzu ili wakae upande wa mashekhe wasomaji wapate kuupiga ubwabwa na nyama nyingi
tena wengine walikuwa wanabeba ndizi na pilipili kabisa lakini hawana elimu ya dini ya kiislam kwa kiwango kikubwa wanakiwa na basic
Miaka ikaenda shekhe ubwabwa now ni tafsri ya MACHAWA WA CCM na SAMIA wao wapo tayari kufanya lolote kutamka lolote hata kam linaenda kinyume na mafundisho ya UISLAM ili mladi tu wanahakikishiwa fungu lao mana sasa hivi kula ubwabwa sio dili kama zamani 90s
So now mashekhe ubwabwa wengine wana elimu kabisa ila ndio hvyo machawa wakubwa 7bu wengi hawana elimu ya kisekura pia
SHEKHE UBWABWA kwa sasa ni wahuni wapuuzi fulani hivi wachumia tumbo
mfano wa shekhe ubwabwa chawa ni yule alotaka kukata vichwa waandamanaji
Huyu ni chawa na mchumia tumbo au shehena shehetani atumiaue dini yake kutaka kuwa karibu na watawala mazwazwaNaomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
mwenye elimu mbali mbali ya madrasa pekee yakeNaomba sifa hata Kwa picha za hawa wanaotrend kwasasa kama sheubwabwa. Naomba Uzi wangu uheshimiwe usikashifu mtu.
Elimu ni madrasa lasaba hajafika ye ni kusoma juzuu tu.Elimu dunia hana ni either form four au std 7
😬
Rectify 'all african country' Methinks, it accurately is supposed to be all African countries.Elimu ni madrasa lasaba hajafika ye ni kusoma juzuu tu.
I wrote all swahili there wtf you dont understand?Rectify 'all african country' Methinks, it accurately is supposed to be all African countries.
Wow! I didn't know that you are such a fool who doesn't accept any corrections. Okay, go ahead and live with your fucxx broken English.I wrote all swahili there wtf you dont understand?
GTFOH
Ignored 💩🖕Wow! I didn't know that you are such a fool who doesn't accept any corrections. Okay, go ahead and live with your fucxx broken English.
Okay fag. Keep you ignorance and stupidity for your peril son of the morning.Ignored 💩🖕