Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

Labda mkakae na askofu Gwajima sio hawa wa Kanisa ... maana kama mnayofunza ni mema kuna haja ya kuwa na MASHAKA?
 
IGP yupo sawa tumechelewa, control Ni muhimu ,imekuwa jambo rahisi kusajili na kuanzisha taasisi za kidini, huenda Wenye Nia ovu wanatumia mianya hiyo penyesha agenda zao.
 
Na hakuna gaidi anayefanya ugaidi kwa kutumia karate, maana ingekuwa hivyo huko China kungekuwa na ugaidi wa kutisha. Magaidi wanatumia silaha wanazotengeneza mzungu.

Wakitoka madrasa wataingia kwenye vikao vya vyama vya siasa kuangalia nako kama hawafundishani ugaidi.
 
Utatuzi wa mgogoro au tatizo ziku zote uko ndani mwa mwenye au anayeona tatizo.
 
Kama hawafundishi ugaidi kwa nini waogope kukaguliwa?

Shehe Ponda tulia ,tunajua waliokimbia Gabo delgado wamekuja Tazania kujijenga upya.
Sasa Tanzania kuna madrasa ngapi? zingekuwa zinafundisha ugaidi si ingekuwa hatari, na istoshe mbona wangekuwa washajua maana masheikh mashushushu wapo kibao kama wale Bakwata hivyo ilikuwa haina haja ya polisi ndio kuingilia.
 
Sheikh ponda asichanganye siasa na dini
Duniani kote serkali humonita mafunzo yanayokinzana na imani za dini husika

Haiwezekean madrasa au Sunday school watoto wanafundishwa ugaidi then serkali ijitenge
Ugaidi unafundishwaje? maana hata akina Sirro walisema Hamza alijifunza ugaidi kupitia mtandao.
 
Mambo ya imani ni magumu. Wapinga Kristo wana sema Yesu Kristo kaleta upanga duniani wakifikiri ni kwa maana ile ya majambia na sime za wamasai. Wafuasi wa Yesu Kristo tunajua
Upanga Yesu Kristo aliomanisha ni Neno la Mungu ambalo ni upanga ukatao kuwili. Mtu anasema Masheikh na Maskofu tutakuta. Unabaki unashangaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…