Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
2,030
2,000
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

View attachment 1935628
Huyu siro anachokitafuta huko kwenye imani za watu atakipata.
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,413
2,000
Watu wanaojitambua wanashindwa kumuelewa Sirro kwa sababu ya tabia iliyokithiri kwa mapolisi kuwabambikia watu vyesi kwa nia ya kuwakomoa tu.

Polisi hawa ambao Hamza kawaua kwa sababu tu ya kumdhulumu mali yake lakini wao tayari wameshageuza kibao na kusingizia eti Hamza alikuwa ni gaidi.

Sasa wanapoulizwa wanafikiri ni kwa nini basi kawaua mapolisi tu bila kumjeruhi hata raia moja wakati raia walikuwemo kibao hawajibu na badala yake wanajikanyaga tu.

Mwisho wa siku watakuja kupandikiza silaha ndani ya madrasa na kuwabambikia mashehe kesi ya uongo kisa tu wamewaunga Chadema mkono. Tuko hapa.
 
Asamwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
3,080
2,000
Sasa polisi wameshindwa kufanya observations zao kimya kimya undercover mpaka waende kwenye vyombo vya habari kuamsha mihemko ya wanadini?

Huko ni kukosa akili na ni ishara kwamba hawako serious.
Eti hili ndilo jambo muhimu kuliko yote alilojifunza Siro kwenye ziara yake ya Rwanda!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,311
2,000
Watu wanaojitambua wanashindwa kumuelewa Sirro kwa sababu ya tabia iliyokithiri kwa mapolisi kuwabambikia watu vyesi kwa nia ya kuwakomoa tu.

Polisi hawa ambao Hamza kawaua kwa sababu tu ya kumdhulumu mali yake lakini wao tayari wameshageuza kibao na kusingizia eti Hamza alikuwa ni gaidi.

Sasa wanapoulizwa wanafikiri ni kwa nini basi kawaua mapolisi tu bila kumjeruhi hata raia moja wakati raia walikuwemo kibao hawajibu na badala yake wanajikanyaga tu.

Mwisho wa siku watakuja kupandikiza silaha ndani ya madrasa na kuwabambikia mashehe kesi ya uongo kisa tu wamewaunga Chadema mkono. Tuko hapa.
Chadema tena?!
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,889
2,000
Na siku hizi misikiti na makanisa pia yamehamia katika platform / madhabau za mitandaoni kama YouTube, Facebook, WhatsApp basi polisi hawa watakuwa wanataka siyo tu wanajipanga kukagua yanayoendelea mfano katika kanisa la Ufufuo na Uzima baina ya kuta za jengo, bali na maudhui wanayotupia mtandaoni yana uzalendo pia utaifa ndani yake !

Askofu Gwajima alipua moto | Atoa msimamo kuhusu Chanjo nchini

Source : josephat gwajima rudisha tv
 
careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,357
2,000
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

View attachment 1935628
Mmh Hakuna chakujadili hapo achen serikal ifanye kaz yake! Hamuaminiki nyie wote
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,757
2,000
Si ndio huyu na yule mwenzake anayeitwa katimba ambao wote wanazuga wapo chadema ndio waliibuka kwenye mazishi ya hamza wakisema ndio wasemaji wa familia wakawa wanamtetea?
 
davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
276
250
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

View attachment 1935628
Unajua Tanzania bhana kuna mambo yana endeleaga chini chini yani kiasi kwamba inaskiliziwa ku (pull the trigger)

Statement zina collide alafu zinakua public kitu ambacho si sahihi... Huu mfumo kuna muda unafikirisha sana... Mpaka mtu una anza kuwaza katiba
 
davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
276
250
Sheikh ponda asichanganye siasa na dini
Duniani kote serkali humonita mafunzo yanayokinzana na imani za dini husika

Haiwezekean madrasa au Sunday school watoto wanafundishwa ugaidi then serkali ijitenge
Mr. Una evidence juu ya maelezo yako???
 
davejillaonecka

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
276
250
Sasa polisi wameshindwa kufanya observations zao kimya kimya undercover mpaka waende kwenye vyombo vya habari kuamsha mihemko ya wanadini?

Huko ni kukosa akili na ni ishara kwamba hawako serious.
Mr shkamoo.. i salute you kwa comment yako
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
125,012
2,000
2795DD48-B43A-47C1-94BF-591A90801F8D.jpeg
 
Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
406
500
Kamanda Sirro alisema tu kule Rwanda wanakagua mafundisho ya Madrassa na Sunday School kwa hiyo anataka kuongea na viongozi wa dini hapa kuona kama jambo hilo linaweza kufanyika hapa.
Lakini Kama Sheria za nchi ziko wazi,waache hao watu waongee chochote wanachotaka mafichoni.
Dini na mapolisi,wapi na wapi?
And besides wamefungwa watu; Sheikh Ponda amefungwa, na wale masheikh wa uamsho wamefungwa. Kwa hiyo Sheria zinajulikana.
Polisi waondoléwe kwenye madrassa ili iweze kufanyika robust religious discussion.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom