Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

Labda mkakae na askofu Gwajima sio hawa wa Kanisa ... maana kama mnayofunza ni mema kuna haja ya kuwa na MASHAKA?
 
Wewe umechukua post kwenye akaunt fake ya Sheikh ponda.

Akaunti halisi ni hii

Screenshot_2021-09-13-10-33-54-127_com.twitter.android.jpg
 
IGP yupo sawa tumechelewa, control Ni muhimu ,imekuwa jambo rahisi kusajili na kuanzisha taasisi za kidini, huenda Wenye Nia ovu wanatumia mianya hiyo penyesha agenda zao.
 
Tamko la Sirro linawalenga waislamu, wakristo wameingizwa kama cover tu kubalance.

Wote tunajuwa hakuna gaidi aliwahi kusikika akisema bwana asifiwe, bali ni takbiir na Allah Uhakbar.

Na hakuna mafunzo ya kareti makanisani bali kwenye madrasa na misikiti hasa hawa Markaz.
Na hakuna gaidi anayefanya ugaidi kwa kutumia karate, maana ingekuwa hivyo huko China kungekuwa na ugaidi wa kutisha. Magaidi wanatumia silaha wanazotengeneza mzungu.

Wakitoka madrasa wataingia kwenye vikao vya vyama vya siasa kuangalia nako kama hawafundishani ugaidi.
 
Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.

Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.

Maendeleo hayana vyama!

View attachment 1935628
Utatuzi wa mgogoro au tatizo ziku zote uko ndani mwa mwenye au anayeona tatizo.
 
Kama hawafundishi ugaidi kwa nini waogope kukaguliwa?

Shehe Ponda tulia ,tunajua waliokimbia Gabo delgado wamekuja Tazania kujijenga upya.
Sasa Tanzania kuna madrasa ngapi? zingekuwa zinafundisha ugaidi si ingekuwa hatari, na istoshe mbona wangekuwa washajua maana masheikh mashushushu wapo kibao kama wale Bakwata hivyo ilikuwa haina haja ya polisi ndio kuingilia.
 
Sheikh ponda asichanganye siasa na dini
Duniani kote serkali humonita mafunzo yanayokinzana na imani za dini husika

Haiwezekean madrasa au Sunday school watoto wanafundishwa ugaidi then serkali ijitenge
Ugaidi unafundishwaje? maana hata akina Sirro walisema Hamza alijifunza ugaidi kupitia mtandao.
 
Mambo ya imani ni magumu. Wapinga Kristo wana sema Yesu Kristo kaleta upanga duniani wakifikiri ni kwa maana ile ya majambia na sime za wamasai. Wafuasi wa Yesu Kristo tunajua
Upanga Yesu Kristo aliomanisha ni Neno la Mungu ambalo ni upanga ukatao kuwili. Mtu anasema Masheikh na Maskofu tutakuta. Unabaki unashangaa tu.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom