mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,699
- 37,299
wewe na sheikh ponda ndio mnaufahamu.stereotyping ni ujinga. Hufahamu uislamu .
sijakataa.
wewe na sheikh ponda ndio mnaufahamu.stereotyping ni ujinga. Hufahamu uislamu .
Udini umekutawala akili.wewe na sheikh ponda ndio mnaufahamu.
sijakataa.
Jeshi letu haliwezi kuvuka mipaka kukagua elimu za watu.Ndio!
Dhambi ya ubaguzi inakutambaa.Labda mkakae na askofu Gwajima sio hawa wa Kanisa ... maana kama mnayofunza ni mema kuna haja ya kuwa na MASHAKA?
Mfano mtu akisoma dini hapa Tanzania akafuzu kwenda nje ya nchi,je'polisi watakwenda kuwakagua na huko nje ya mipaka.
Mkawa mnajilipuwa na mabomu?Acha uongo, miaka ya 1995 tulikuwa tunafanya mazoezi ya karate pale kanisa kuu la katoliki morogoro, opposite na hospital ya mkoa
Hii sasa ni Kabul hapo Afghastan!
Wiki ijayo utasikia gym zote zimepigwa kufuliKwani mazoezi ya karate yana ubaya gani ?View attachment 1935809
Tule mtori nyama zipo chiniWiki ijayo utasikia gym zote zimepigwa kufuli
Tanzania is a big nation, inajifunza mambo mengi Rwanda in aibu,ccm mjitathiminiIGP yupo sawa tumechelewa, control Ni muhimu ,imekuwa jambo rahisi kusajili na kuanzisha taasisi za kidini, huenda Wenye Nia ovu wanatumia mianya hiyo penyesha agenda zao.
Na hakuna gaidi anayefanya ugaidi kwa kutumia karate, maana ingekuwa hivyo huko China kungekuwa na ugaidi wa kutisha. Magaidi wanatumia silaha wanazotengeneza mzungu.Tamko la Sirro linawalenga waislamu, wakristo wameingizwa kama cover tu kubalance.
Wote tunajuwa hakuna gaidi aliwahi kusikika akisema bwana asifiwe, bali ni takbiir na Allah Uhakbar.
Na hakuna mafunzo ya kareti makanisani bali kwenye madrasa na misikiti hasa hawa Markaz.
Utatuzi wa mgogoro au tatizo ziku zote uko ndani mwa mwenye au anayeona tatizo.Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools.
Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika ukurasa wake wa twitter.
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1935628
Sasa Tanzania kuna madrasa ngapi? zingekuwa zinafundisha ugaidi si ingekuwa hatari, na istoshe mbona wangekuwa washajua maana masheikh mashushushu wapo kibao kama wale Bakwata hivyo ilikuwa haina haja ya polisi ndio kuingilia.Kama hawafundishi ugaidi kwa nini waogope kukaguliwa?
Shehe Ponda tulia ,tunajua waliokimbia Gabo delgado wamekuja Tazania kujijenga upya.
Ugaidi unafundishwaje? maana hata akina Sirro walisema Hamza alijifunza ugaidi kupitia mtandao.Sheikh ponda asichanganye siasa na dini
Duniani kote serkali humonita mafunzo yanayokinzana na imani za dini husika
Haiwezekean madrasa au Sunday school watoto wanafundishwa ugaidi then serkali ijitenge