Sasa kama kuna taasisi ya kikristo inayoshirikiana na waislam si ndiyo nzuri hiyo? Huo ni ushirikiano mzuri, hata BAKWATA nayo itakuwa na ushirika na taasisi fulani ya kikristo. Haina shida maadamu wote ni wananchi wa nchi moja isiyo na udini katika serikali yake