Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke.
====
Your browser is not able to display this video.
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima) na Mbunge wa Kawe kupitia CCM, Bishop Dr. Josephat Gwajima, katika kulaani vitendo vya utekaji wa raia vinavyoripotiwa nchini.
Akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa chama cha ACT Wazalendo uliofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga, jijini Dar es Salaam, Sheikh Ponda alisema kuwa serikali imeshindwa kuwalinda raia wake dhidi ya vitendo vya kihalifu ikiwemo utekaji na vitisho. Alisema hali hiyo inaiweka serikali kwenye nafasi ya kuhojiwa kuhusu uhalali wake wa kuendelea kubaki madarakani.

Gwajima ni mtuma salamu tu, ya watu waliochoshwa na kinachoendelea.
‘Don’t shoot the messenger’
Kuna tofauti kubwa sana shutuma za kutunga kama alizokuwa anafanyiwa Magufuli.
Na shutuma halisi, kama za Samia.
Hadi UN watae, neno wamejiridhisha.
Shida sio Samia (mama sio muuaji) ila ni clueless. Shida ni watu wanaotaka abaki kuwa raisi kwa namna yoyote ile kwa faida yao.
Ignore J.K he is just an old man obsessed with power (kama hela anazo za kutumbuwa hata tsh 2 million kwa siku, kwa miaka 1000) sasa wote tunajua hata kwa mungu huo muda hawezi nunua.
Ukipigwa kubali, jifunze na acha visasi kama mfumo uliruhusu.
Ndio hoja ya Gwajima ilipo raisi hawezi kuwa na madaraka ya kuteua na kutengua anavyotaka (hasa raisi mwenyewe akiwa na kichwa kama cha Samia).
Let’s not kid ourselves ‘mama ni empty set’ anacheza ngoma ya wengine. Yeye mwenyewe kwa kichwa chake hata kama watu walikosea sasa hivi wangekuwa wanamvua madaraka.
Kwashikwa na Mafisadi ambao hawataki kuachia hizi neema.
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima) na Mbunge wa Kawe kupitia CCM, Bishop Dr. Josephat Gwajima, katika kulaani vitendo vya utekaji wa raia vinavyoripotiwa nchini.