Mjinga yule hudhani dola inamuogopa, hawezi kukamatwa kwa kuwa yeye ni shehe, & nyuma yake ana mamia ya waislamu (serikali ita waogopa waislamu)....very foolish mind setAnahisi taasisi za kiserikali ni madrassa fala sana yule....
Nashauri selikali imshughukikie huyo mtu bila kumuangalia usoni. Yani anataka uteuzi wa kuangalia dini na siyo taaluma?
Kwa hiyo anaadhibiwa sasa hivi kwa makosa aliyofanya wakati wa Kikwete, una akili sawa sawa weye?Ponda alianzia kuteseka utawala wa muislamu mwenzake (Kikwete),acheni kumpakazia Magufuli
Waafrika Wana roho mbaya sana hawawezi toka.hivi wale jamaa wa uhamsho walishatoka?
Uonevu sema sababu Hana chapaMwache akae huko alikuwa anaandika waraka kama nani? Serikali ina habari zaidi ya huo waraka muda utasema, kama kuna Vimburukenge vinafikiri Serikali imelala totoro ni wakati wa kupanga upya mikakati yao ya kipumbavu. Hatuhitaji mambo ya Kibiti kujirudia, tupo pazuri kuangalia keki ya Taifa kila Mtanzania ni lazima aifaidi sio mlevi wa konyagi peke yake na genge lake la wahuni ambao wanafikiri Tanzania iliota kama uyoga.
Anaonewa sababu ni muislamuMjinga yule hudhani dola inamuogopa, hawezi kukamatwa kwa kuwa yeye ni shehe, & nyuma yake ana mamia ya waislamu (serikali ita waogopa waislamu)....very foolish mind set
Hata wabunge waliambiwa... "...ukishamtoa huko ndani sisi tutamshughulikia huku nje!!"Back to point kwani huu waraka wa Ponda una tatizo gani labda tujadili.Aliyoyaandika niya uongo? Sio ya kweli maana ametoa mpaka takwimu za wakuu wa wilaya ,mkoa ,mawaziri ,makatibu wakuu idadi Yao wakristo na waislam akatoa na asilimia nini shida sasa?Badala ya kufanyiwa kazi malalamiko (content za waraka) wanafanyia kazi mtu , aisee up gozi ni kazi sana. Hivi administrator unafanyia kazi content au mtu ?