Sheikh Ponda anaendelea kushikiliwa Polisi. Inasemekana yupo Kituo cha Magomeni

Wewe na jina lako mbandia ndio unataka kutwambia alichosema Ponda? Serikali hii haiongozwi na wajinga kama walioiweka nchi yetu kwenye uchumu mbovu tangu tujitawale. Jaribu kupata ukweli kabla ya kubwatuka.
Bora maana mchana kulikuwa na tetesi hayupo ulimwengu huu
 
Wewe na jina lako mbandia ndio unataka kutwambia alichosema Ponda? Serikali hii haiongozwi na wajinga kama walioiweka nchi yetu kwenye uchumu mbovu tangu tujitawale. Jaribu kupata ukweli kabla ya kubwatuka.
Kwahiyo awamu zilizopita hamna kitu na walikula pesa za wastaafu?
 
Kwa hiyo unakubali pumba ulizoandika hapo juu na sasa unabadili gia angani? Polisi ndio wenye dhamana ya kumuweka mtu ndani sasa wewe unalialia nini? Mbona wengi tu wanawekwa ndani na baada ya siku tunaambiwa waliwekwa ndani kwa makosa gani nk? Wewe na jina lao la bandia ndio mwerevu kumbe hata makosa hufahamu, ndio upimbi wenyewe huo. Mwache asote huko jela.
Sina unaona Lugola yupo jera.
 
Fair treatment kwa makundi yote ya jamii lazima iwepo.

Askofu wa Rulenge, Niwemugizi alitoa kauli ya kupinga kuwaachia watu kwenda kusali kwenye mijumuiko ya wengi kipindi cha korona alikamatwa?

TEC wametoa nyaraka za kutaka haki za watu na demokrasia viwepo nchini, umewahi kusikia wanawekea ndani?

Walutheri nao walitoa waraka wao, kuna askofu alikamatwa?

Askofu Bagonza naye huwa anatoa misimamo kuhusu haki za raia umewahi kusikia anaitwa hata Central?

Gwajima anatoa kauli kuwa Wasukuma waungane wamsaidie msukuma mwenzao, umewahi kusikia akiwekwa ndani hata siku moha kwa uchochezi?

Waislamu siku zote hizo wako kimya, hawajatoa waraka hata mmoja

Leo nao wanatoa wa kwao, unaohusu mustakbali wa nchi na maslahi yao then serikali inamtia ndani msomaji tu wa Taarifa ya maimamu, kama hii siyo double standard ni kitu gani?

Serikali lazima iheshimu makundi yote ya kijamii siyo kundi moja inaheshimu viongozi wake na kundi jingine inakamata na kuweka ndani viongozi wake!

Leo hii kuna Masheikh kibao wako jela, hawajatibitika kuwa na kosa lolote mbele ya sheria lakini wako wanaozea jela!

Serikali hii imesamehe hadi wabakaji waliofungwa kifungo cha maisha lakini haiachii huru masheikh ambao imeshindwa kuthibitisha makosa yao mbele ya mkono wa sheria.

Acha maneno yako wewe, fikiria sana ksbla ya kucomment mitandaoni.

Waislamu hawapendi treatments za nsmna hii!
Mkuu, ukitetea mtu mtetee kwa kuwa ana haki Kama mtanzania mwenzetu na wapenda haki wengi wataungana nawe. Usifanye hivyo kwa kushambulia dini zingine.

"Umoja Ni nguvu, utengano Ni udhaifu". Ukidai haki huku unagawa watu kwa misingi ya dini hufiki kokote.. hapo unasaidia watawala waovu na doctrine yao ya "divide and rule".

Huyo askofu Niwemugizi unayemsema, alipoombwa vyeti vya kuzaliwa vya babu, bibi, baba, mamaake, nk wakati hata jiwe hana hivo vyeti, hukusikia?

Na huyo Gwajima alipowekwa korokoroni na kupimwa mkojo hukusikia? Na mifano ya hivyo ni mingi tuu..

Au nikuulize, uchomaji moto wa makanisa awamu ya Mwinyi na awamu ya Kikwete unazungumzia vipi? Mbona wachomaji hawakukamatwa??
 
Udhaifu na uoga wa waislamu ndio unawagharimu, na mtaendelea kunyayaswa mpaka mtakaporejea kwenye mafundisho ya mtume wenu

Waislamu siyo waoga hata kidogo

Ni Waislamu waliomface Mkoloni kuanzia vita vya majimaji na hata kwenye harakati za kudai uhuru wao walikuwa msitari wa mbele.

Waislamu ni majasiri wa kumueleza mtawala ukweli, isipokuwa wana uungwana sana na subira sana.

Nakuhakikishia kundi pekee nchini ambalo likisema kuwa linaingia barabarani kudai haki yao katika nchi hii ni waislamu ndo wenye ujasiri huo. Na serikali inalijua hilo ndiyo maana siku zote imejitahidi kuwaweka masheikh wenye ushawishi kwenye "payroll" yake. Na BAKWATA ilianzishwa specifically ili kuwa "watchdog" wa waislamu, kwa sababu inawajua kuwa waislamu wakiamua lao huwezi kuwazuia.

Isipokuwa sasa serikali lazima iwatendee haki, isiabuse ukimya wao, hawa wana subira sana, lakini ikivuka mipaka, inakuwa inatengeneza bomu linalosubiri kupasuka!

Tusitengeneze Mwembechai nyingine!
 
....Ponda ni mtu hatari kwa Taifa hili!
Kama uhatari wa Ponda Ni kupigania haki za Watanzania zinazokandamizwa na mungujiwe na washirika wake, Kama waraka uliosomwa na Ponda una msimamo unaompinga mungujiwe Basi Mimi nipo na Ponda! Mwenyezi Mungu amjaalie moyo wa uvumilivu, ipo siku!

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania na wapigania haki wote!
 
Wewe na jina lako mbandia ndio unataka kutwambia alichosema Ponda? Serikali hii haiongozwi na wajinga kama walioiweka nchi yetu kwenye uchumu mbovu tangu tujitawale. Jaribu kupata ukweli kabla ya kubwatuka.
Umeulizwa kuhusu waraka wa TEC ambao ulizua mjadala sana hadi kupelekea msajili wa taasisi za kidini kuwekwa kando huku Mwigulu akiokoa jahazi kwa hekima. Kwa nini iwe kwa waislamu tu?
 
Waislamu siyo waoga hata kidogo

Ni Waislamu waliomface Mkoloni kuanzia vita vya majimaji na hata kwenye harakati za kudai uhuru wao walikuwa msitari wa mbele.

Waislamu ni majasiri wa kumueleza mtawala ukweli, isipokuwa wana uungwana sana na subira sana.

Nakuhakikishia kundi pekee nchini ambalo likisema kuwa linaingia barabarani kudai haki yao katika nchi hii ni waislamu ndo wenye ujasiri huo. Na serikali inalijua hilo ndiyo maana siku zote imejitahidi kuwaweka masheikh wenye ushawishi kwenye "payroll" yake. Na BAKWATA ilianzishwa specifically ili kuwa "watchdog" wa waislamu, kwa sababu inawajua kuwa waislamu wakiamua lao huwezi kuwazuia.

Isipokuwa sasa serikali lazima iwatendee haki, isiabuse ukimya wao, hawa wana subira sana, lakini ikivuka mipaka, inakuwa inatengeneza bomu linalosubiri kupasuka!

Tusitengeneze Mwembechai nyingine!
Waislamu waliomtoa mkoloni ndio majasiri, hawa wa nyakati za leo ni waoga mno wamebakia kujificha kwenye koti la uungwana ilhali masheikh wao wengi hasa wenye akili wapo magereza.

Kama hamtastuka na kubadilika mtaishia kulalamika tu na manyanyaso juu. Rudini kwenye mafundisho ya mtume wenu.
 
Mwache afe kama hataki kula! Hakuna kumbembeleza!
Muwe tayari kuibeba hiyo laana...
Mzee wa kiraracha laana ya Sheikh Kassim haikumuacha salama...
Hafi wala haishi...
Tandikeni mkeka wa chuki tutavuna matunda yake pasipo shaka...
 
Fair treatment kwa makundi yote ya jamii lazima iwepo.

Askofu wa Rulenge, Niwemugizi alitoa kauli ya kupinga kuwaachia watu kwenda kusali kwenye mijumuiko ya wengi kipindi cha korona alikamatwa?

TEC wametoa nyaraka za kutaka haki za watu na demokrasia viwepo nchini, umewahi kusikia wanawekwa ndani?

Walutheri nao walitoa waraka wao, kuna askofu alikamatwa?

Askofu Bagonza naye huwa anatoa misimamo kuhusu haki za raia umewahi kusikia anaitwa hata Central?

Gwajima anatoa kauli kuwa Wasukuma waungane wamsaidie msukuma mwenzao, umewahi kusikia akiwekwa ndani hata siku moja kwa uchochezi?

Waislamu siku zote hizo wako kimya, hawajatoa waraka hata mmoja

Leo nao wanatoa wa kwao, unaohusu mustakbali wa nchi na maslahi yao then serikali inamtia ndani msomaji tu wa Taarifa ya maimamu, kama hii siyo double standard ni kitu gani?

Serikali lazima iheshimu makundi yote ya kijamii siyo kundi moja inaheshimu viongozi wake na kundi jingine inakamata na kuweka ndani viongozi wake!

Leo hii kuna Masheikh kibao wako jela, hawajatibitika kuwa na kosa lolote mbele ya sheria lakini wako wanaozea jela!

Serikali hii imesamehe hadi wabakaji waliofungwa kifungo cha maisha lakini haiachii huru masheikh ambao imeshindwa kuthibitisha makosa yao mbele ya mkono wa sheria.

Acha maneno yako wewe, fikiria sana ksbla ya kucomment mitandaoni.

Waislamu hawapendi treatments za nsmna hii!
Hivi wamesema wanamshikiria kwa kosa gani?
 
Back
Top Bottom