Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Labda wewe bado hayajakufika, na sikuombei. Ponda hana shida ya ubunge wala udiwani. Yeye ni msema kweli, Kazi yake ni kuamrisha mema na kukataza maovu. Hospital hazina dawa, watu wasiojulukana wanaV8Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Ponda ndio amekua msemaji chama hakina msemaji!Labda wewe bado hayajakufika, na sikuombei. Ponda hana shida ya ubunge wala udiwani. Yeye ni msema kweli, Kazi yake ni kuamrisha mema na kukataza maovu. Hospital hazina dawa, watu wasiojulukana wanaV8
Nguruwe ni Wewe,Mumeo na wanenuMSIGWA ni mchungaji wa nguruwe
Punguza jazba mkuu hasira haziliwi!Nguruwe mama yako.
Shusha munkari!Nguruwe ni Wewe,Mumeo na wanenu
zezeta lipo nairobi!achana na hilo ZEZETA lisilojitambua
Yupo!Hivi kuna mama mmojaa wa kanisa sijui rwakatale hivi yupo jamani?
Amelitekeleza#amelitelekezaDunia,pesa,babies bungeni haikuwahi kumuacha mtu wa mungu salama amelitekeleza!
Unamlazimishaje mtu ampende mtu mwingine?Kamchukie mamako, mimba yako ilitungiwa jalalani, ukazaliwa kilabuni na chakula chako cha utotoni majalalani. Swaini mkubwa weee wewe ni maiti inayoongea
Tena Nguruwe wenye virus kichwani, maanda alishasema Atakayemuunga mkono Lowasa, akapimwe Akili, sasa Msigwa akapimwe mpaka mkojo!MSIGWA ni mchungaji wa nguruwe
Si kila mchungaji ana kanisa lakeMkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
Kipara Kipya,Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Hii ya Lowasa imeshaimbwa sana, kila kitu sijui Msigwa au Lema alisemaje. Mbona Lowasa anatingisha hivi?Tena Nguruwe wenye virus kichwani, maanda alishasema Atakayemuunga mkono Lowasa, akapimwe Akili, sasa Msigwa akapimwe mpaka mkojo!
Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
???????Ponda ndio amekua msemaji chama hakina msemaji!
Aksante sana mkongwe mohamedi saidi kwa mchango wako hoja yangu ipo hapa ndio maana nimesema wasije wakampa kesi ya udini kwa maana ya kuambiwa ni gaidi,ila achukuliwe kama mwanasiasa maana ukiwa mwanasiasa upo huru kusema chochote, ukiwa sheikh na ukauvaa usiasa muda wowote unaweza kuwa katika orodha ya magaidi!Kipara Kipya,
Unajaribu kumtazama Sheikh Ponda katika sura ya siasa ukiaminni kuwa
kwa kuwa ni sheikh hastahili kuwa mwanasiasa.
Uhuru wa Tanganyika una mashujaa wengi katika siasa ambao walikuwa
masheikh.
Hawa walikuwa mstari wa mbele katika kupambana na dhulma za wakoloni.
Kulikuwa na Sheikh Hassan bin Amir na Sheikh Said Chaurembo katika
TAA - Political Subcommittee.
Hii ilikuwa 1950.
Kulikuwa na Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo katika TAA na TANU.
Kulikuwa na Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa
TANU.
Kulikuwa na Sheikh Yusuf Badi wa Lindi katika TANU.
Kulikuwa na Sheikh Rashid Sembe shujaa wa Kura Tatu katika mkutano wa
TANU kujadili Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 1958.
Mifano iko mingi inachotakiwa ni kwa wewe kuisoma historia ya TANU na
uhuru wa Tanganyika itakudhihirikia kuwa masheikh siku zote wamekuwa
mstari wa mbele katika kupambana na dhulma ya aina yoyote katika jamii.
Kushoto kwa Baba wa Taifa ni Sheikh Suleiman Takadir katika mkutano wa TANU wakati wa kupigania uhuru wa
Tanganyika
Ok sawa mkuu Msingwa anasali wapi?Si kila mchungaji ana kanisa lake
Nimekuelewa familia ya pondaWewe kama nani unamshinikiza Sheikh Ponda aamue moja? Kwa mamlaka ipi uliyokuwa nayo? Watu wengine kwa kujikweza banaa! Dah! Mind your own business achana na Sheikh Ponda ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Humjui hakujui na waloa hajakuomba ushauri na KAMWE hatakuomba ushauri.