Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
ALIKUW KATIBU WA BARAZA KUU LA MAASKOFU CHINI YA RAIS TARCISIUS NGALALE KUMUTWASlaa hajawai kuwa askofu mkuu.tengua hiyo kauli
Mleta mada itakuwa ulikimbia umande, hivi had hujui kuwa hata Martin Luther alikuwa ni askofu lakini ni miongoni mwa watu waliokuluwa wanapigania haki za watu weusi USA...Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
= amelitelekezaDunia,pesa,babies bungeni haikuwahi kumuacha mtu wa mungu salama amelitekeleza!
Alikuwa padri (askofu)Dr Slaa alikuwa Askofu? C'mon!
Walipambana kwenye katiba mpya....."ondoka mzee.....umezeeka mzee...sijui umekula maharage ya wapi"walipambanaje!
Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Prof Safari ni wakili wa Mahakama Kuu (hence na mahakama zingine zote) na ana kesi zaidi ya 20 kwa sasa anazisimamia na kabla ya hizo kashasimamia kesi zaidi ya 50. Je, zote ni za wanaCHADEMA? Prof Safari sio wakili wa CHADEMA bali ni wakili wa kujitegemea. Waliopaza sauti zao juu ya dhulma kwa Lissu ni watu wa makundi mbalimbali ikiwemo ya kidini, kijamii na kisiasa kutoka ndani na nje ya nchi. Ponda ni mtanzania kama Lisu. Ponda ni mpenda haki. Kama wewe haupo kwenye hayo makundi mawili (utanzania na kupenda haki) basi nyamaza waache wapenda haki kwa utanzania wao wapaze sauti
Alikua askofu msaidizi na padri huko mbulu!
Ni bora kwa kua amemzungumzia lissu!Kwani ponda ana kadi ya cdm... mnataka viongozi wa dini kama walle wa bakwata eti? Wanaosema ukweli wapinzani eti
Kwani amemsifia mtu!Kilichokuhudhi ni kitu gani? kama Ponda angemsifia malaika anayependa mashatani ungefurahi hadi mwisho. acheni roho ya mapepo
Kwani amemsifia mtu!Kilichokuhudhi ni kitu gani? kama Ponda angemsifia malaika anayependa mashatani ungefurahi hadi mwisho. acheni roho ya mapepo