Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Prof. Safari kwa kuwa ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo haruhusiwi kufanya kazi yake ya uwakili? Tuna watu ambao wanadhani kujifanya wajinga ni sifa.Sheikh ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt slaa alikua ni askofu akaamua moja,mchungaji msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni safari makamu mwenyekiti chadema hivyo umekamatwa kama mwanachadema
Ushauri pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Dr Slaa mwaka gani alikuwa askofu? Jimbo gani hilo alikuwa askofu?
Jibu unalo unazuunguka tu!We dogo mleta hoja!! Nikikuuliza kosa la Sheikh Ponda ni kwenda kuwajulia hali kina Lema jela. Wagonjwa kama Lisu hospital ni kosa ?! Je angeenda kumuona Maghufuli hospital ungehoji jambo hili?! Huu ukaburu wa nini?! Na kwa faida ya nani?!
Mbona hakutoka masumbuko lamwai,safari amefika pale sababu ya jina la lissu jumlisha chadema!Hopeless argument from hopeless mind. Prof. Safari kwa kuwa ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo haruhusiwi kufanya kazi yake ya uwakili? Tuna watu ambao wanadhani kujifanya wajinga ni sifa.
Ameingiaje hapa!
Dr Slaa mwaka gani alikuwa askofu? Jimbo gani hilo alikuwa askofu?
Mwambieni kwanza yule Kadinali anayepinga uwepo wa Katiba mpya avae yale matambara yenu ya kijani.
Sheikh Ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,Ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa Ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,mchungaji Msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini.
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni Safari makamu mwenyekiti CHADEMA hivyo umekamatwa kama mwanachadema.
Pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Waulize wana Iringa mjini wanalijua lilipo hilo kanisa na Nina lake wanalo.Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
MSIGWA ni mchungaji wa nguruweMkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
Ndio wajibu hapa mkuu au kwenye hii thread hawapo wana Iringa?Waulize wana Iringa mjini wanalijua lilipo hilo kanisa na Nina lake wanalo.
Hahahaaaa umeua mkuu maana huyu mchungwaji anasema kazi ya vyama vya upinzani ni kufanya wananchi waichuykie serikali kasahao maandiko yanasema zitiini mamlaka zilizopo maana zimewekwa na Mungu huyu mchungaji kweli yupo critical but stableMSIGWA ni mchungaji wa nguruwe
Ameingiaje hapa!
Ponda asiogope mbona dkt Slaa alikuwa ni askofu akaamua moja,
Siasa mpaka 2020!
Nguruwe mama yako.MSIGWA ni mchungaji wa nguruwe
Jibu swali Brazaa.Dunia,pesa,babies bungeni haikuwahi kumuacha mtu wa mungu salama amelitekeleza!