kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Dunia,pesa,babies bungeni haikuwahi kumuacha mtu wa mungu salama amelitekeleza!Mkuu hivi kanisa la Mchungwaji Msigwa linaitwaje? Maana naskia mchungaji mchungaji lkn kanisa analochungia kondoo halijulikan
Kama alikua ni padre inatosha!Slaa hakuwahi kuwa askofu
Kafanyaje!Pengho je!?
Swali hiki umeishamuuliza Gwajima.....?Sheikh ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt slaa alikua ni askofu akaamua moja,mchungaji msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni safari makamu mwenyekiti chadema hivyo umekamatwa kama mwanachadema
Ushauri pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Kabaki madhabahuni kwake!Swali hiki umeishamuuliza Gwajima.....?
ni chadema inajulikanaSwali hiki umeishamuuliza Gwajima.....?
Ushauri kama huu ungepaswa umpe na Kadinali PENGO pia.Sheikh ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt slaa alikua ni askofu akaamua moja,mchungaji msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni safari makamu mwenyekiti chadema hivyo umekamatwa kama mwanachadema
Ushauri pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Busara imetawala!Mwambieni kwanza yule Kadinali anayepinga uwepo wa Katiba mpya avae yale matambara yenu ya kijani.
Sheikh ponda ni muda mrefu anajulikana kama mwanaharakati na kiongozi wa kupigania mali za waislamu,ponda ana historia ndefu na amepatwa na misukosuko mingi katika kuendesha harakati zake na wengi walijitokeza kumtetea kwa sababu ya kuvaa kofia ya kuonyesha kuwa anatetea imani fulani,lakini hili linalotokea sasa ni dhahiri sasa ponda anajipambanua kuwa ni mwanasiasa na yupo tayari kisiasa na tumkaribishe rasmi katika ulingo wa siasa na asihukumiwe kidini aonekane ni mwanasiasa kama wengine tu
Ponda asiogope mbona dkt slaa alikua ni askofu akaamua moja,mchungaji msigwa na bado wanafanya siasa za uwazi bila ya kujificha kwenye kivuli cha dini
Ponda hukuzungumzia msikitini habari zako umezungumzia ukumbini,wakili ni safari makamu mwenyekiti chadema hivyo umekamatwa kama mwanachadema
Ushauri pesa ya chadema haikuwahi kuwaacha watu salama
Ponda umevalishwa mkenge!
Siasa mpaka 2020!
Ameingiaje hapa!Mwambieni kwanza yule Kadinali anayepinga uwepo wa Katiba mpya avae yale matambara yenu ya kijani.
pengo kaonekana ukumbi gani!Vipi kuhusu LWAKATARE NA PENGO UMEWAPELEKEA NAO HUU UZI?