Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Kirusi kibaya zaidi ni padre Slaa na jopo lake la wahuni.
Kesho tunaanza maandamano nchi nzima ili kuhakikisha kamanda PONDA anaachiwa bila masharti.

Ha haaa unachekesha kweli,slaa ni level nyingine kabisa sio za ponda!...nyie c muliandamana ili ubalozi wa marekani ufungwe mmefikia wapi na 2 weeks mlizotoa?yaan hata hamjiulizi mwisho wa cku huwa mnaproove failure!haya muandamane muone mwema na kova watakavyowafanya
 
JK amewalea sana hawa nakumbuka kipigo walichopata pale mwembe chai enzi zile kiliwanyoosha mpaka wakawa na akili naona sasa kirusi kile kimeanza kurudi
 
By Mkandara


Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
Inaelekea hata kiongozi wako wa dini akisema "waislam tanzania chinjeni makafiri wote mtakaokutana nao" , wewe utauliza swali hilihili, amefanya kosa gani!? Dini kweli wakati mwingine inapumbaza...
 
Tatizo la mbagala litaendelea hadi pale, serikali itakapoangalia chimbuko la matatizo na si matokeo. Kwa mfano tatizo kubwa la ajira na tofauti kubwa la kiuchumi baina ya wenye majina ya kiislamu na wasiyo kuwa waislam nalo ni tatizo lingine
 
Kasi ya ukuaji wa migongano ya kidini ni kubwa na athari zake tumeanza kuziona. Ninachokiona serikali haichukui hatua madhubuti, ama kwa makusudi au kwa kukosa uwezo wa kushughulikia tatizo hilo.
 
NOT GOOD ENOUgH.
Usalama wa nchi yetu ni kufunja kabisa uhusiano wa kibalozi ya Serikali ya Iran.
Kushughulikia kina Ponda ni kutreat symptoms wakati tatizo lipo pale pale.

wewe unakijua ukiandikacho,,,,kwa taarifa yako idad kubwa ya watanzania ni wasunni,,,na wao hwafungamani kwa namna yeyote na wairan ambao ni washiya,,,,,,wakat unawaza kuandika kufungwa kwa ubalozi wa iran,,,,ungeendelea kidogo na kusisitiza pia UBALOZ WA VATICAN UFUNGWE(NAKUKUMBUSHA TU)
hapo kwenye green,,,,,Kumbe wewe mnyakyusa,,,,,,FYATU FYANGU FIMEPOTEA
 
tatizo ni kwamba chui alishasababisha mpaka baadhi ya mifugo kuanza kuparaganyika,kama nimemuelewa vizuri mwanakijiji ni kwamba tumechelewa sana kuchukua hatua na kama tunachukua hatua basi tuchukue kwa haki na kwa wote waliohusika.
 
yaan redio imaan inatupasha habar leo inapandikiza UDINI????,we ombea ifungwe na haitafungwa,,,,,,tutaipata hata kupitia mtandao,,,,,kwakua huipendi baaaasi,,,shwain weeeee

Mtandao si pahala salama pa kujificha na uhalifu Mkuu. Labda utakumbuka aliyechezea picha ya Kikwete aonekane anafirwa si walikuja kumkata tu. Internet haina siri kabisa Mkuu. Utapatikana tu! Dead or alive!

Kumbuka mtu mpole au mkimya anapoamua vita haitaisha mpaka kieleweke...
Waislam mnafanya kosa kubwa sana kudhani nyinyi tu ndo wenye haki miliki ya Hasira.
Upande wa pili una binadamu, na hao wanao uwezo wa hasira. Jipe muda uone kama
yataishaje.
 

Nikwambie kitu mkuu,cwezi kusema uongo kwa kitu km hicho,hyo radio huwa naickiliza sana 2!hebu kuwa mkweli(weka pembeni mambo ya dini,imani)huwa hawafundishi kumchukia mkristu?hata baada ya tukio la mbagala,km ulickiliza ponda aliongea nn?
 
Ss ww tuipende kwa kueneza uchochezi?au hujui km kinachofanyika kwny hyo redio si kitu kizuri?acha ujinga ww

Mjinga ww,watu wakiongea ukweli wanaitwa wachochez, wamezoea kutufanyia mabaya sasa wanaumbuliwa wanataka ifungwe weweee si tuko tayar kufa, are you?
 
sasa kama unashinda madrasa kutwa utawezaje kuinuka kiuchumi?

Nimependa majibu yako lakini,nakueleza hawo watu unaowabeza ndio wataishi pamoja na watoto wetu tunawapeleka expensive English Medium.
 

Kumkamata nadhani ni kwa usalama wake zaidi,watawala ambao wamekuwa wanamtumia wanahofia yasimfike ya Sheikh Rogo!
 
:spy:MDOMO WANGU UNAKUWA MZITO PONDA KUMUITA SHEKH KWA SABABU YA MATENDO YAKE, SHEKH SIKU ZOTE NATEGEMEA AWE MWADILIFU MWENYE KAULI THABITI KWA WANANCHI NA WAUMINI WA DINI ZOTE, HUYU NI MUHUNI KAM NI MUHUNI BASI AADHIBIWE KWA UHUNI WAKE YEYE KWA TAARIFA NAAMBIWA NI MRUNDI HUYU KWAO KAZOEA VURUGU NA MAPIGANO KAMA HIVYO NDIYO HAINA SABABU KWA KUMRUHUSU KUENDELEA KUKAA TZ AONDOLEWE KAMA MHAMIAJI HARAMU TUSIMBEZE ATATUGHARIMU HUYU:spy:
 
Nikwambie kitu mkuu,cwezi kusema uongo kwa kitu km hicho,hyo radio huwa naickiliza sana 2!hebu kuwa mkweli(weka pembeni mambo ya dini,imani)huwa hawafundishi kumchukia mkristu?hata baada ya tukio la mbagala,km ulickiliza ponda aliongea nn?

Christine mimi hii redio huwa naiskiza sana tu bidada,,,,maswala mengi yanayozungumzwa pale ni mfumo kristo na uonevu wanaofanyiwa waislam,case study ya juz kwa bi ndalichako,bila waislam kulalama ndo ingekua ntolee ile,,,sasa redio hii imesaidia kukemea hayo,,,,,tatizo liko wapi hapo,,,,binafsi frends zangu since kindergaten hadi hapa nilipo most are christian hatujawah kuleteana mzaha kwenye iman,,,,nimeish nao room moja,napotaka kusali wanazima redio wanasubir nisali,wala hatujawah kubaguana,lakin kwa sasa kuna some sort of dharau miongon mwa watanzania kwa kigezo cha dini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…