Huyu jamaa amekuwa janga la kitaifa! Hongera polisi kwa kazi nzuri.
Muogope mungu wewe mbona muongo kiasi hicho.Kuwashawishi watu kwenda kuchanachana biblia, kuiba sadaka na kuharibu makanisa. Inawezekana hata zile sadaka walizoziiba zilipelekwa kwake( rumours)
shekhe ponda anatoa kauli za uchochezi kati ya waislam wakristo na serikali.kwa mfano jana nilikuwa namsikiliza redio ya umoja wa mataifa akihojiwa anasema eti serikali iwaombe radhi waislam kwa mtoto w mbagala kukojolea qur'an.sasa inashangaza kwani mtoto alitumwa na serikali! na serikali imemkamata mtoto na imempeleka mahakamani yeye alitaka serikali imuue!halafu anaiamuru serikali iwaache watu wote iliowakamata wanaodai kuwa ni waislam japo wameharibu mali za watu!mtu wa ajabu sana huyu.Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
Mbona polisi wana makosa mengi tu ya kumpa. Wanaweza kusema uchochezi mpaka hapo????
Hakujiandikisha sensa?Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?
Waislam kesho mkiamka tukutane wote kwa msikiti wa mtoro...safari hii maandamano kumtoa nchimbi...mpaka kieleweke
swadakta shekhe wangusuala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.
Huyu jamaa amekuwa janga la kitaifa! Hongera polisi kwa kazi nzuri.
Kwa nini hakuwahamasisha wakasome albadil (sijui ndo inavyoandikwa) kimya kimya kuliko vurugu?
kanywe naye chaiKwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.Hata hii Redio Imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.
Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama URUSSI,USA na nhi nyingine za JUMUIA YA KIARABU ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.
albadir inasomwa na watu safi wachfu hawana uwezo wa kuisoma itawarejea wao.... so wameona bora wafanye fujo kama dini yao ilivyowatuma