Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

Status
Not open for further replies.
.....hiyo ni kuonyesha kiasi gani watu wanataka kujua zaidi habari hii ya ponda,wanofurahi kwa yaliomkuta sheikh watu,wafurahi tu,lakini sisi hatuna cha kupoteza na kisasi kwetu halali tumeambia'tusihudhunike kwa tuviachavyo na wala tusihofu tuendako,inshaallah kama kweli wamemdedisha ponda wallahi kwa jina la mungu tutawasha moto,hata tukifa mf.200 wao tukiwaua 20 bado sisi washindi, maana wao wanaogopa kifo kwa mabaya yao.

kwa taarifa yenu mtakufa wote na hamtaua hata mmoja,yani tumewalea sana sasa anzisheni mumfuate shekhe wenu kuzimu
 
Kwanza habari si rasmi. Ni tetesi tu. Amepigwa kifuani, amepigwa begani, alikuwa kwenye mhadhara, alikuwa anshuka kwe teksi, alikuwa anaenda kuswali. Yote haya yanaonesha habari bado mbichi. NA TUTASIKIA VERSIONS NYINGI TU.
Tuache jazba kwanza wanawema!

NIPO MORO,Ponda alikua wa mwisho kuongea (dk 10 za mwisho)katika muhadhala katika kiwanja cha shule ya k/ndege muda mchache kabla muhadhala kuisha zilikuja defenda nyingine 2 za polisi (wakiwa na silaha) muhadhala ulipoisha Waislamu walianza kutawanyika huku wengine wakiamua kumsindikiza Ponda kuelekea msikitini (mungu mmoja) wakati huo ponda alipanda teksi pamoja na wengine, polisi nao walianza kuwafuata kwa nyuma, Mbele kidogo karibu na idara ya maji (kwa wanoifahamu moro) ikatokea gari moja ya polisi ikasimama mbele ya gari ya akina ponda wakashuka polisi wenye silaha pamoja na wale walio ktkt gari za nyuma, ikapigwa risasi hewani watu wakatawanyika waliokuwa ktkt teksi wakatoka na ponda wakikimbilia upande wa pili wa Barabara, polisi mmoja akiwafuata na silaha zikapigwa risasi zingine shehe Ponda akawa upande wa pili amejeruhiwa Begani upande wa nyuma, Huku Mtu mmoja aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiashiria kwa mkono kuwaita Watu waliotawanyika kutokana na Milio ya risasi kwenda kumsaidia Ponda, Waislamu wakamchukua Ponda Kwa pikipiki kumkimbiza Hospitali (wakati huo polisi walishaondoka bila kumkamata). Waliokwenda hospitali ya mkoa wanasema kuwa Hositali walikataa kumtibu kwa madai kuwa anatafutwa na Polisi. Waislamu wakamchukua na kuondoka nae, sian uhakika kama wamempeleka Dar au Hospiatali gani nyingine.
 
Ukiangalia comments nyingi humu ndio utaona akili za watanzania. Watu wanatambua fika ni kipi Shekhe Ponda alifanya kwa wakristu na makanisa yao. Mahakama ikatoa hukumu yenye masharti kadhaa lakinu huyu mtu kayapuuzia. Tukiacha hayo hakuna aliye na uhakika kuwa ni kweli polisi wamempiga risasi na kama ni kweli ni kipi kilichopelekea akapigwa risasi. Hatutafuti ukweli ila tunabaki kuwalaumu polisi na CCM. Sitaki kuhalalisha kilichotokea ila pia najaribu kujiuliza tutakuwaje na amani katika nchi yenye raia wasiofuata sheria. Sasa hivi tunawalaumu CCM lakini ni swala lililo wazi kuwa Chadema nao wakishika madaraka watapaswa kusimamia sheria katika kuleta demokrasia ya kweli. Kila uhuru una mipaka yake ndio maana vipo vyombo vya dola. Najua wapo watakaobeza lakini ifike wakati tuache hulka za uchama na uanasiasa tusimamie kwenye utaifa.
Tumia tu haki yako ya akili na mdomo uliojaaliwa na Mungu wako(not sure); ni matumaini yangu kuwa miaka 100 ijayo utatoa maoni kama haya. Ubaya ni duara haki ni mstari.
 
Kama kafa ni kheri kwake maana kafa kifo kizuri kabisa 'sisi hatujui tutakufaje Yailahi
 
Mkuu kweleakwelea

Bado unaendelea kutekeleza amri ya kiongozi wako ya utawala wa visasi kwa wanyarwanda? ubaguzi sio mzuri mkuu
adolay...i seriously hate ponda....he has been behind many religious turbulences in tanzania.....huyu ndiyo alikuwa nyuma ya fujo za mwembechai...akatoroka..mzee mkapa akamkamata akitaka kukimbia kuvuka ziwa tanganyika....akamwonya kiutu uzima.....hakuacha akaja kuibuka amsumbue kikwete......mahakama ikamlinda ....kiutu uzima pia....kumbuka yuko kifungoni....juzi kapita zanzibar....kaamsha moto wa tindikali.....wamewamwagia sasa hadi waingereza.....polisi wakamshiti kiaina...leo kaibukia morogoro....WHO DOES HE THINK HE IS??????????????????MOTH.....CKER WIT A PING PONG P...SY WIT A RUBBER D..K!
 
We boya mumeua Zanzibar wakristo wakanyamaza sio kwamba ni waoga au vita na kisasi hawaviwezi unaongea upumbavu kweli wewe hebu ujaribu safari hii uone moto wake

Waue polisi halafu unasema unalipiza kisasi kwa kumuua Askofu au Padre safari hii fanyeni usenge huo muone kama kutakalika hapa make mnataka kutuzoea kama pichu zenu

Kama ndivyo wamekutuma hivyo tunawasubiri tuone
wewe subiri utaona.
 
Waislam hatuna hiyo kitu kwenye red, otherwise usingeona serikali itwayo ni ya ccm madarakani.

Are you familiar with the term Mfumo Kristo???? Ukiusoma ni grievances za waislamu za muda mrefu na Sheikh Ponda na wengine ndio walikuwa watu wa mwanzo kuwazindua waislamu kuhusu kinachoendelea nchini. In fact Sheikh amechukua nafasi ya Sheikh Takadir ambaye watu walishindwa kumuelewa hadi alipokuja akina Sheikh Ponda na wengineo kuwazindua waislamu. Wewe sio mwislamu otherwishe hakuna muislamu asiyejua hilo hapa Tanzania.
 
Kweli nimeshindwa kuamini kilichotoke, sheikh ponda kubigwa risasi. Nilikuwepo pale uwanjani tena nilikuja mapema kabisa na hivyo kushuhudia kila kitu kilichotokea.

Kimsingi sikuona sababu ya Sheikh ponda kutokewa na tukio baya kiasi kileambacho hakionyeshi ubinaadamu kabisa, utu wetu, uhuru wetu na hata heshima tuliyonayo watanzania kwenye jumuia za kimataifa. Mpaka sasa haieleweki ni nani hasa kampiga risasi Sheikh Ponda, lakini minong'ono ya watu wanasema ni polisi wamehusika. Binafsi pamoja na kufuatilia kwa ukaribu sikuona ilikotokea risasi hata aliyepiga na nilikuwa mbali kidogo na tukio. Ila nilimwona wakati anapandishwa kwenye pikipiki akiwa tayari amekwisha kupigwa risasi. Imewahuzunisha wengi!

Jamaa ameongea kwa muda mfupi sana ni takribani dakika 18, kwani alianza kuongea saa 11:54 na alimaliza kuongea saa 12:12 jioni. Hali ya uwanjani kwakweli ilikuwa shwari sana, hata polisi hawakuonekana jirani walikuwa kwa nyuma kabisa huku wakiwa wamejisheheni kwa zana zote za kazi.

Mara baada ya ponda kukaribia kumaliza kuongea alisema kuwa muda hautoshi isipokuwa ilitangaza kuwa kesho baada ya swala ya adhuhuri atakuwa kwenye msikiti wa mkoa wa morogoro wa Boma road ambapo ataongea kwa kirefu hivyo kuwataka waislamu kesho kuhudhuria Boma road.

Inavyooneka polisi walipanga wamkamate hata kabla ya kuongea katika ule mkutano na ndio maana walitega sehemu kana kwamba walikuwa wakimsubiri aingie wamkate. Lakini katika hali isiyotarajiwa na wengi Sheikh Ponda iliingia uwanjani kupitia upande wa pili ambapo msafara wake ulikuwa na gari moja tu na taksi mbayambaya kiasi kwamba wala huwezi kudhania. Mara tunashangaa gari imesimaa na Sheikh Ponda na Amiri wa wahadhiri Tanzania Sheikh Kondo Bungo wakashuka,wakapita kwenye kundi la waislam kwa nyuma ghafla kivumo cha shangwe na Takbir kikavuma huku umati wa waislam waliohudhuria hapo ukiitia allahu akbar, allahu akbar nk.

Wakati huu jukwaani alikuwa akiongea Sheikh Said Riko na ndio aliyewapokea kwa kuanzisha takbir ambayo iliitikiwa na waislam allahu akbari,allahu akbar, allahu akbar. Kwa sababu waliingia kwa kuchelewa ilibidi mara moja Sheikh Said Rico ampishe sheikh Kondo Bungo,amir wa wahadhiri Tanzania aongee. Wakati anaendelea kuongea kabla hata hajamaliza umeme ukakatika, likachukuliwa jenerata ambalo lilikuwa jirani likawashwa, na muhadhara ukaendelea kama kawaida. Sheikh Kondo Bungo akamaliza mada yake, akarudi Sheikh Said Riko, akaongea na kuchangisha michango kwa ajili ya kuendeleza harakati kwa muda wa kama dakika tano hivi ndipo akaruhusiwa Sheikh Ponda kupanda jukwaani.

Sheikh Ponda mara baada ya kumaliza kuongea, watu wakaanza kutawanyika, lkn ghafla mwendesha shughuli akatangaza waislam wasitawanyike kwanza kwa kuwa kulikuwa na matangazo.Wakati matangazo yanendelea ambayo sikuweza kuyasikia , ghafla tukaona defenda moja ya polisi inaingia ambayo ilikuwa imejaza polisi walio tayari kwa mapambano. Waislam wakawa wanawashanga kulikoni tena ilhali mkutano ulifanyika na kuisha kwa amani kabisa.

Basi Sheikh Ponda akaingizwa kwenye taxi iliyokuja kumfuata akiambatana na Sheikh Kondo Bonge. Polisi walitaka kumkamata sheikh Ponda lakini waumini wakamkinga kwa kulizingira gari alilopanda sheikh Ponda huku likiondoka taratibu. Huku nyuma gari la polisi likawa linafuata taratibu bila kubiga risasi hewani wala kupiga mabomu ya machozi. Gari ya polisi ilipofika barabara ya lami maeneo ya karibu na jengo la Fire ilionekana kusima kwa muda huko gari iliyombeba sheikh Ponda kukunja kushoto kueleke kwenye msikiti wa Mungu mmoja dini moja. Kabla msafara wa Ponda haujafika kokote gari nne za polisi zilikuja kwa kasi sana na kuanza kupiga mabomu ya machozi kuwatawanya waumini, watu walitawanyika na Sheikh Ponda akashuka na kuelekea kwenye Gereji moja hivi kabla ya kufika idara ya maji ambako ndiko alikopigwa risasi. Kwakweli sijui ilikotoke risasi iliyompiga Ponda, nadhani kamanda wa polisi atalitolea ufafanuzi zaidi. Mimi nimeandika kile nilichoona kwa macho yangu!

Mi nilidhani ingekuwa busara kwa jeshi la polisi kama walimuhitaji sheikh ponda wangemwambia anahitajika polisi na hivyo ajisalimishe.
 
vyombo vya habari karibu vyote havijatangaza.. Wewe unakomaa na TBC nenda moro ukapate habari, mbuzi wa maziwa wewe..
 
Lete critical argument yako moja tu ya kutompenda kabsaaaaaa huyu jamaa, mbali na hearsay.
..mkuu ngoja kwanza tukae sawa na hii breaking news,kumjadili kwa ubaya/uzuri wake wakati watu wako kwenye tension haitaleta picha nzuri kwa wapenzi wake just to be fair not otherwise...
 
Itakuwa ameguswa!
si unajua MACCM hawapati ufahamu mpaka ya WAKUTE.

Hawa waislam wenzangu kila siku nawaambia MACCM sio watu ni wanafki, ila wankuwa wabishi, managapi yametukuta chini ya MACCM , wakina MAGEZIU wako wapi? tulipigwa na kuletewa mbwa mpaka misikitini enzi za mrema, maccm walivyokuwa wajnaja wakasema huyo alikuw amrema hakutumwa na ccm wakati ndio sera zao sikuzote kuunyonya uislam.

UJUMBE:
kama wewe ni MUISLAM na unaishabikia CCM kwa kuwa tu ina RAISI MUISLAM< BASI TAMBUA IMEKULA kwako na KWETU WOTE WAISLAM.

Huyo Kiongozi wa KIISLAM unaye mshabikia hapo ni PROXY tu amewekwa kutuliwaza na kutusahulissa ADUI yetu WAISLAM hajawahi kubadilikika miaka yote ni CCM na MFUMO WAKE wa KIKATOLIKI.

Hoja yako umeijenga vuzuri mpaka hapo mwisho ulipo onyesha upofu wako.... hivi hao wakatoliki/wakristu wamenufaika vipi na ccm??? Kwa jinsi ulivo andika uzi wako nilitegemea wewe ni katika waislam wachache walio soma na wanaweza waekeza facts wenzao walio duni ki fikra kwamba adui wa Tz ni mmoja.... ni utawala mbovu wa ccm..na si wakriatu. Wote hapa nchini tunataabika tu. Afya mbovu, shule bora liende, ajira kwa vijana hamna, vijana kutopewa platform ya maamuzi, ufisadi, rushwa, udictator wa viongozi wetu, matumizi mabaya ya majeshi yetu....nk... . haya yote wakristu na waislam tunapigika nayo...sasa je? Huo mfumo katoliki unawanufausha vipi wakristu/ wakatoliki? Tafakari ndugu zangu...adui yetu ni mmoja na ni ccm kwa sbb hawataki tutoa kwenye dimbwi hili la umaskini kwa kutupa elimu bora.....

Binafsi nasikitika sana alicho fanyiwa shekh, ni udictator mbaya zaidi na si ungi mkono matumizi ya hovyo ya risasi kwa wayu walio zinunua wenyewe kwa kodi..... ila udictator una mwisho na mwisho wake ni mbaya kwa magamba....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom