GE2025 Sheikh Nassoro: Kuna viongozi wa dini wanajiteka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi.

Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma, katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Sheikh Nassoro alisema ni muhimu viongozi wa dini kujitathmini na kusema ukweli ili kulinda heshima ya taasisi za kidini.

Soma pia: Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

“Viongozi wa dini tumekuwa ni chachu ya kuchochea baadhi ya mambo ya kisiasa yanayolalamikiwa katika nchi hii, ikiwemo suala la utekwaji wa watu. Ukweli ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukitumia nafasi hizi kujiteka sisi wenyewe kwa maslahi binafsi. Ni lazima tuambizane ukweli, maana ukweli siku zote humweka mtu huru,” amesema Sheikh Nassoro.

Ameongeza kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikisababisha taharuki katika jamii, huku waumini wakihisi viongozi wao wametekwa, kumbe baadhi yao wameamua kuishi maisha tofauti kwa hiari yao binafsi.
 
Kwani mwaka huu Masheikh wamelishwa nini! Mbona wanatoa matamko kila dakika!
 
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi.

Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma, katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Sheikh Nassoro alisema ni muhimu viongozi wa dini kujitathmini na kusema ukweli ili kulinda heshima ya taasisi za kidini.

Soma pia: Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

View attachment 3493430

“Viongozi wa dini tumekuwa ni chachu ya kuchochea baadhi ya mambo ya kisiasa yanayolalamikiwa katika nchi hii, ikiwemo suala la utekwaji wa watu. Ukweli ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukitumia nafasi hizi kujiteka sisi wenyewe kwa maslahi binafsi. Ni lazima tuambizane ukweli, maana ukweli siku zote humweka mtu huru,” amesema Sheikh Nassoro.

Ameongeza kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikisababisha taharuki katika jamii, huku waumini wakihisi viongozi wao wametekwa, kumbe baadhi yao wameamua kuishi maisha tofauti kwa hiari yao binafsi.
Muislamu yoyote awezi kuwa na akili ...toka nizaliwe sijawai kukutana au kumuona Muislamu hata mmoja mwenye akili ....hata ndani ya vitabu vya dini yao ...isipokuwa baadhi ya waislamu majina wapo wenye akili .....sasa huyo shekh atuambie hao wasio baadhi yao ambao awajiteki ni nani aliye wateka ?
 
Kumbe padre Kitima alijipiga na rungu kichwani akazimia?

Ok uchunguzi wa polisi umefikia wapi kuhusu tukio hili ??
 
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi.

Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma, katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Sheikh Nassoro alisema ni muhimu viongozi wa dini kujitathmini na kusema ukweli ili kulinda heshima ya taasisi za kidini.

Soma pia: Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

View attachment 3493430

“Viongozi wa dini tumekuwa ni chachu ya kuchochea baadhi ya mambo ya kisiasa yanayolalamikiwa katika nchi hii, ikiwemo suala la utekwaji wa watu. Ukweli ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukitumia nafasi hizi kujiteka sisi wenyewe kwa maslahi binafsi. Ni lazima tuambizane ukweli, maana ukweli siku zote humweka mtu huru,” amesema Sheikh Nassoro.

Ameongeza kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikisababisha taharuki katika jamii, huku waumini wakihisi viongozi wao wametekwa, kumbe baadhi yao wameamua kuishi maisha tofauti kwa hiari yao binafsi.
........Mama yake
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi.

Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma, katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Sheikh Nassoro alisema ni muhimu viongozi wa dini kujitathmini na kusema ukweli ili kulinda heshima ya taasisi za kidini.

Soma pia: Sheikh Mustafa: Maandamano yao ni batili

View attachment 3493430

“Viongozi wa dini tumekuwa ni chachu ya kuchochea baadhi ya mambo ya kisiasa yanayolalamikiwa katika nchi hii, ikiwemo suala la utekwaji wa watu. Ukweli ni kwamba baadhi yetu tumekuwa tukitumia nafasi hizi kujiteka sisi wenyewe kwa maslahi binafsi. Ni lazima tuambizane ukweli, maana ukweli siku zote humweka mtu huru,” amesema Sheikh Nassoro.

Ameongeza kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikisababisha taharuki katika jamii, huku waumini wakihisi viongozi wao wametekwa, kumbe baadhi yao wameamua kuishi maisha tofauti kwa hiari yao binafsi.
Huyu mazafaka kama haamini kuna kutekwa amgeuke tu Samia The Killer kwa nguvu kubwa. I am sure ndugu zake watatuletea mrejesho hapa baada ya muda si mrefu!
 
Back
Top Bottom