Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

Chistians we know certainly Jesus is alive in heaven reigns with Farther eternity let those think Jesus is issa keep on westing their time believing Jesus is there.
Tutakutana huko huko maana sote tutarejea kwa Mwenyezi MUNGU mmoja tu ambaye ndiye ametuumba ambaye yeye atahukumu kwa yale tunayohitilafiana. Kama ww unasema Mwenyezi MUNGU ana mwana(mtoto), mm nakwambia Mwenyezi MUNGU hajawahi kuzaa na wala hajawahi kuzaliwa na hajawahi kuwa na mke, Yeye anapotaka jambo husema kuwa na mara huwa na sisi sote ni viumbe vyake tumeumbwa kwa amri yake. Halafu ni vema ukatambua kuwa huhitaji kumfahamu Yesu ndio Issa Mwana wa Maryam ili kwenda peponi bali unachotakiwa kujua ni kuwa kuna MUNGU wa pekee na kutii amri zake. Amri zake hakuziandika vitabuni tu bali kaziandika hata moyoni mwetu na katika mazingira tunayoishi kuna muujiza mkubwa wa amri zake. Ww unaabudu kile ulichokariri na kulishwa kanisani, mimi ninaabudu nilichokielewa vyema na nilichojisomea mwenyewe kwenye vitabu vingi sana hadi Analect of Confuscious. Wakristo na mayahudi hudhani pepo ni yao peke yao lakini sivyo hivyo bali Yeyote atakayeamini kuwa kuna MUNGU mmoja tu na akatenda mema, huyo haitakuwa hofu juu yake siku ya kiyama. Nataka nikuhakikishie kuwa mbora mbele ya Mwenyezi MUNGU ni mwenye kutenda wema wala si mwenye kusema Mwenyezi MUNGU jina lake ni fulani au sijui MUNGU na mwana au hana mwana au sijui Yesu alisulubiwa au hakusulubiwa hakika hayo ww achana nayo maana hayatakufaa kitu na wala hutaulizwa Yesu jina lake halisi ni nani wala hutaulizwa je Yesu alisulubiwa au hakusulubiwa, bali kitakachokufaa ww siku hiyo ni utiifu wako wa sheria zake na kutenda mema maana utahukumiwa kwa sheria dhidi ya matendo yako, ufahamu dhidi ya matendo yao. Walemavu wa akili hawaitaji kumjua Yesu kwenda peponi bali watahukumiwa kwa level yao. Mwenyezi MUNGU ni wa haki sana na wala hadhulumu waja na ni mbora wa mahakimu maana yeye ni Hakimu asiyekosea. Ishu za kusema pepo ni ya wale waliomuamini Yesu peke yake ni upuuzi na haingii akilini kwa mwenye akili labda au eti batzwa uende peponi ni upuuzi wa hali ya juu, ubatizo upo ndani ya roho maana huko ndiko kwenye imani kisha ufuatane na matendo mema.
Tusubiri kiyama kifike, mm nawewe tutakuwa ni miongoni mwa waliopanga msatari wakihukumiwa, kisha itajulikana ni nani anasema kweli. Watu wajinga hujisifu kwa majina ya dini na madhehebu yao lakini watu wenye akili humjua Mwenyezi MUNGU kwa maumbile ya Mbingu na Ardhini na vilivyomo ndani yake kisha hutii amri zilizoandikwa moyoni mwetu kabla hatujazaliwa.
Pepo si ya wakristo peke yao au mayahudi peke yao bali ni ya walimwengu wote masharti na vigezo kuzingatiwa. Mababu zetu hawawezi kuulizwa habari za Yesu wakati hata biblia au Quran hawajawahi kuziona itakuwa ni kichekesho cha hali ya juu sana. Lakini ukweli ni kuwa pamoja na kutokuona vitabu hivyo watahukumiwa kwa sheria za kimazingira ambazo Mwenyezi MUNGU alishaziumba kiasili kabisa.
 
Huyu sheikh hua sina imani nae,ni mchimia tumbo tu..
Huwa ni nadra sana,kumtambua MNAFIQ lakin moja ya watu wenye sifa hizo nilowashuhudia kwa macho yangu ni Alhad Mussa, huwa ni watu wabaya sana,mtu ambae huifanya Batili kuwa Haki na haki kuwa batili,
Tena akiwa anajua dhahir nini anakifanya,
anyway ndio aina ya maisha aliyoyachagua,
 
Tutakutana huko huko maana sote tutarejea kwa Mwenyezi MUNGU mmoja tu ambaye ndiye ametuumba ambaye yeye atahukumu kwa yale tunayohitilafiana. Kama ww unasema Mwenyezi MUNGU ana mwana(mtoto), mm nakwambia Mwenyezi MUNGU hajawahi kuzaa na wala hajawahi kuzaliwa na hajawahi kuwa na mke, Yeye anapotaka jambo husema kuwa na mara huwa na sisi sote ni viumbe vyake tumeumbwa kwa amri yake. Halafu ni vema ukatambua kuwa huhitaji kumfahamu Yesu ndio Issa Mwana wa Maryam ili kwenda peponi bali unachotakiwa kujua ni kuwa kuna MUNGU wa pekee na kutii amri zake. Amri zake hakuziandika vitabuni tu bali kaziandika hata moyoni mwetu na katika mazingira tunayoishi kuna muujiza mkubwa wa amri zake. Ww unaabudu kile ulichokariri na kulishwa kanisani, mimi ninaabudu nilichokielewa vyema na nilichojisomea mwenyewe kwenye vitabu vingi sana hadi Analect of Confuscious. Wakristo na mayahudi hudhani pepo ni yao peke yao lakini sivyo hivyo bali Yeyote atakayeamini kuwa kuna MUNGU mmoja tu na akatenda mema, huyo haitakuwa hofu juu yake siku ya kiyama. Nataka nikuhakikishie kuwa mbora mbele ya Mwenyezi MUNGU ni mwenye kutenda wema wala si mwenye kusema Mwenyezi MUNGU jina lake ni fulani au sijui MUNGU na mwana au hana mwana au sijui Yesu alisulubiwa au hakusulubiwa hakika hayo ww achana nayo maana hayatakufaa kitu na wala hutaulizwa Yesu jina lake halisi ni nani wala hutaulizwa je Yesu alisulubiwa au hakusulubiwa, bali kitakachokufaa ww siku hiyo ni utiifu wako wa sheria zake na kutenda mema maana utahukumiwa kwa sheria dhidi ya matendo yako, ufahamu dhidi ya matendo yao. Walemavu wa akili hawaitaji kumjua Yesu kwenda peponi bali watahukumiwa kwa level yao. Mwenyezi MUNGU ni wa haki sana na wala hadhulumu waja na ni mbora wa mahakimu maana yeye ni Hakimu asiyekosea. Ishu za kusema pepo ni ya wale waliomuamini Yesu peke yake ni upuuzi na haingii akilini kwa mwenye akili labda au eti batzwa uende peponi ni upuuzi wa hali ya juu, ubatizo upo ndani ya roho maana huko ndiko kwenye imani kisha ufuatane na matendo mema.
Tusubiri kiyama kifike, mm nawewe tutakuwa ni miongoni mwa waliopanga msatari wakihukumiwa, kisha itajulikana ni nani anasema kweli. Watu wajinga hujisifu kwa majina ya dini na madhehebu yao lakini watu wenye akili humjua Mwenyezi MUNGU kwa maumbile ya Mbingu na Ardhini na vilivyomo ndani yake kisha hutii amri zilizoandikwa moyoni mwetu kabla hatujazaliwa.
Pepo si ya wakristo peke yao au mayahudi peke yao bali ni ya walimwengu wote masharti na vigezo kuzingatiwa. Mababu zetu hawawezi kuulizwa habari za Yesu wakati hata biblia au Quran hawajawahi kuziona itakuwa ni kichekesho cha hali ya juu sana. Lakini ukweli ni kuwa pamoja na kutokuona vitabu hivyo watahukumiwa kwa sheria za kimazingira ambazo Mwenyezi MUNGU alishaziumba kiasili kabisa.
That's according to my book the Bible tatizo unataka niende kikuraan wakati siiamini taka usitake Yesu ni Bwana kuna nguvu katika jina hilo magonjwa yanatoka. Mapepo yanatoka. Viziwi wasikia. Vipofu waona. Viwete wanatembea. Ukimwi unatoka kwa hilo jina kwanini nisiliamini?
 
Haya yote uliyoyasema si katika mambo ya kukufikisha peponi. Halafu sijasema lazima uamini quran ndio uweze kumtoa pepo. Kwa taarifa Bwana Yesu anasema kuwa hata baadhi ya waliotoa pepo kwa jina lake siku hiyo watakanwa. Maana pana ya hili jambo unajua?? Kifupi ni kuwa kutoa pepo na uchamungu ni vitu viwili tofauti kabisaa! Ww ni miongoni mwa watu wengi sana ambao hata kitabu chao hawakijui. Hivi umewahi kusoma biblia kuanzia mwanzo hadi mwisho??
NI MJINGA PEKE YAKE ATAKAYESEMA MUWA NI MTAMU KULIKO VYOTE ULIMWENGUNI NA WAKATI HAJAWAHI KULA VITU VYOTE ULIMWENGUNI.

SOMA KIJANA, SOMA KIJANA, SOMA
 
Nimeisoma Bible na Quran pia.
 
Nimeisoma Bible na Quran pia.
Vyema basi tusubiri hukumu kama sote tumesoma. Bila shaka unajua kuwa watiifu na waasi wote watarejeshwa kwa Mwenyezi MUNGU na huko tutahukumiwa kwa haki na hakuna dhuluma huko. Inatosha kabisa kusema kuwa hakuna haja ya kuhukumiana sisi kwa sisi kwani hakika Mwenyezi MUNGU akitaka sote tuwe a dini moja tu au dhehebu moja tu, hakika hashindwi.
 
UTHIBITISHO wa hapo kuwa kanisani ni UPI? hakushika bible wala msalaba

AFU HAYUPO PEKE AKE apo.
Huwenda alialikwa ktk hafla ya kijamiiii

UISLAM WA KWELI UMEKATAZA MTU KUMZUSHIA MWENZIE UONGO hata kama humpendi

PIA dini inatuambi " MTU aseme yenye heri au ake kimya"

KUMDISKAS MTU km yy in makosa hata kama kweli yupo kanisani
Kama una uhakika hapo ni kanisani Kamtafute Umnasihi yy coz bado yupo hai
 
Kwahiyo hapo sio Kanisani kwakuwa hajashika Biblia wala Msalaba?
 
Weweeee, Usitudanganye, Mungu Allah sio Mungu wa wakristo. Allah na Yahwe (Yehova) ni wawili tofauti japo kila mmoja anahita watu wamtumikie. Kama Allah angekuwa ndio Yahwe asingeagiza kuuawa kwa wakristo maana wangekuwa ni wake. Allah sifa yake kuu Katili asiyetiliwa mfano, asie na huruma, hana muda wa watu kutubu zaidi ya kuchinjwa na kufa. anatekela ukatili huo kuanzia kwa waarabu wenyewe waliokipokea kitabu hadi kwa wakristo.
Kuua watu na kujiua mwenyewe ni zawadi kubwa kutoka kwa Allah. brainwash ya aina hyio ndo inayotufanya leo kushuhudi watu wakijito muhanga kufa eti watapokelewa na mungu wao. Kwa Yahweh hii ni dhambi kubwa.
 
Back
Top Bottom