Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

GEBA2013

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
4,253
4,641
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
 
We mzee unatafuta ubaya hvyo vijisenti vitakupa albadili bure jishaue tu, ndo mana shekhe Ponda mnagombana nae kila siku kwa kuendekeza upuuzi kama huu
 
Yeye ndiye ameelewa na kutafsiri vibaya hajui hatma ya mambo hayo ya akina Lukuvi,kikwete na komba ni machafuko ya nchi. Bila shaka huyo kapewa mlungula na Viongozi wa ccm ili amsafishe lukuvi. Njaa hii itatupeleka pabaya.
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Yaani huyu Sheikh wa mkoa hapo hamna mtu kabisa,huyo kama kijiti kimevishwa kanzu na kofia ila mtu hukuna.......hii ndio kazi ya bakwata.
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa

Hao masheikh ubwabwa tu hawana mpya.
 
masheikh km hao ndyo wanaoingiza nch kwenye vita,anaona hii n ngombe yy anasema mbuzi,kweli inekera
 
Viongozi wetu baadhi kama sio wote ni bure kabisa!!!!!
Hangaika na shule na hospitali achana na kutafsiri hotuba za watu!!!!

Hovyo sana kabisa
 
Kwani lukuvi aliongea kichina mpaka tuhangaike kutafsiri vizuri au vibaya? Hapo ndipo tunapofika njia panda. Kila mtu afate njia yake. Enzi zile zilishapita za kuimbishwa kuwa hii njia ni safi na ya lami hali ya kuwa tunapitishwa kwenye miba.
 
Wanatudhalilisha hawa jamaa sana yaani ni kama loudspeaker tu adhana sawa, kuqim twende,maulid haya,tangazo la kodi poa!!!!!!
 
Sheikh anahaha kukiokoa chama chake ccm. Hata mtt mdogo anajua lukuvi aliropoka maneno ya UKWELI lakini pia ni hatari kwa mustakabali wa taifa. Sio kila ulionalo linafaa kuongea.
 
We mzee unatafuta ubaya hvyo vijisenti vitakupa albadili bure jishaue tu, ndo mana shekhe Ponda mnagombana nae kila siku kwa kuendekeza upuuzi kama huu

weh!! weh!! weh!! usimuite mzee huyu kijana. huyu ni mtoto wa watu wewee hivi hujajuaa??? anavurugwa huyu
 
Sheikh mkuu wa mkoa wa dar es salaam amesema maneno ya mh lukuvi kutasfiriwa vibaya.ameonya waislamu kuwa waungwana na wasimwelewe vibaya lukuvi sbb hakuwa na nia mbaya,ni watu wachache au kikundi cha watu wenye nia ovu kutumia maneno ya lukuvi kisiasa na kiimani alisema sheikh.hi ni kwa mujibu wa magezeti asubuhi rfa
Yule Sheikh wa Bakwata huyo sawa kuongea hayo maneno mwenzake Jongo alilia kabisa huyu akulia kweli.
 
Back
Top Bottom