Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Tunapendaga vyote "mafuta ya Taa" na "maji" sema tatizo matumizi ndio hatuyajui tunaishiaga kuchanganya vyote.mpaka leo hii sijajua Watanzania Kipi Hatupendi na kipi tunapenda,
Mkuu umetisha sana kwa kumuita mungu kwa kina lake Halisi YEHOVAHata mimi naamini kabisa kwamba Mungu ninayemwamini(YEHOVA) hana mzaha hata kidogo kwa wamdhalilishao ijapokuwa ni mwingi wa fadhila na Huruma.Ajitahidi kuomba toba ili asamehewe.
Nilazima usilijue mkuu coz ww ni kama yeye.Mimi sioni kosa la diamond,
huyu shehe should mind her own bussines please
Sheikh yuko timu ya Ali Kiba.... iweje awe ananfuatilia domo kiasi hicho?Ma sheikh wa siku hizi
wanamjua Diamond ni nani
na si ajabu watoto wao wanazijua nyimbo za diamond kuliko dini
naww uombe toba pia kwa ulichokiongeaHata mimi naamini kabisa kwamba Mungu ninayemwamini(YEHOVA) hana mzaha hata kidogo kwa wamdhalilishao ijapokuwa ni mwingi wa fadhila na Huruma.Ajitahidi kuomba toba ili asamehewe.
Ungeandika tu kwa kiswahili maana ulivyobavanga kingereza acha tu...kujitia ujuaji..!Mimi sioni kosa la diamond,
huyu shehe should mind her own bussines please
Tehehehe hehe, Tunapoelekea hao wasanii wawili hawatokaa wakoselewe pale watakapokosea.kuna mdau anasema eti huyu sheikh ni team Kiba
Her???????????Mimi sioni kosa la diamond,
huyu shehe should mind her own bussines please