Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
Ni maoni yake tu binafsi ambayo ameyatoa,,,,
Hofu yangu watu tusiichukulie kiudini zaidi,
At the end of the day ni imani ya watu ndiyo inayowaponya as hii dawa ni ya imani zaidi kama anayetoa alivyosema.
Tuheshimu maoni yake, tuachane na udini simply kwa sababu ni muisilamu amotoa amoni juu ya dawa ya mchungaji wa kikristu.
kuleni dawa acheni longolongo.
au nimwombe baba yangu wa mbinguni aifute?
Usifanye hivyo bwana huo ni ukatili kwa binadamu wenzio
Hurree! Hatimaye makafiri wametambuliwa kuwa wana dini!!!!!! Yesu ni zaidi ya mitume yote bana!!
sikutofautishi na wamarekani weusi enzi za ubaguzi mkali kwa kauli yako
Huyo sheikh Khalifa ni mnafiki sana, siyo wa kumuamini. Mimi nionavyo mbele ya kuumwa hata shura ya maimamu ikikaa na kutoa tamko haitasaidia kwani ukweli ni kuwa watu wanaumwa.
Uenena vyema hakuna mnafiki kama huyu bwana mfupi kama kibao cha chapati hana jipya na wala si kiongozi wa waislamu.