Sheikh Khalifa Khamisi anatumika na system fulani

Sheikh Khalifa Khamisi anatumika na system fulani

Hii biashara ya ukabila na udini mnatoa wapi?

Mbona mnakuwa mnarudi nyuma badala ya kusonga mbele.

Sheikh Khalifa Khamis is a system within the system!
Kwa GT unaweza kuelewa maanake. Kwa ufupi ni kwamba ndami ya CCM na Serikali yake kuna watu hawaridhishwi na teuzi za JPM!!! Hii nchi kulingana na Katiba hainaga kitu inaitwa UDINI au UKABILA!

Magufuli tangu ameingia teuzi zake zina kaharufu ka Ukanda/Ukabila! Kuna Wasukuma kibao wamejazwa kwenye Serikali na Taasisi zake! Lakini pia idadi ya Wakristo surpasses the number of Islamic group by.a large number!!

Magufuli ameshindwa kabisa to BALANCE THE EQUATION pamoja na yeye kuwa ni mtaalamu wa Kemia na Hesabu! Kama tu ilivyo kwene Chemical equation unatakiwa kuweka uwiano sawa kwa kemikali za upande wa KULIA na KUSHOTO!
Kwa mfano akiteua Wakristo 2 lakini Wasukuma na Waislamu 2 lakini Wachaga basi ahakikishe na hu Visiwani anateua Wakristo 2 lakini Waunguja na Waislamu 2 lakini Wapemba! Magufuli anajua usipoiweka sawa kanuni ya kuchanganya Kemikali jiandae kupata mlipuko!!!!
Kama tutaenda kwa mtindo huu huenda bomu hili litalipuka na mtengezaji atakuwa ni JPM mwenyewe!!!!
 
Acha aendelee tu, Serikali haiwezi kushindwa na mtu,Je unakumbuka Ponda, subiri muda ufike tu
 
Huyu sheikke atanyamazishwa tu kama alivyoshughulikiwa sheikhe Ponda. Ponda aliburuzwa mahakamani akanyimwa dhamana kwa muda mrefu sana, baada ya hapo ameshika adabu.

Au hata wale waislam na masheikhe wa uamsho, unawasikia tena? Wanarukwa ukuta huko mpk hawana hamu.
 
Hebu t
Kuwa na dhehebu kenye watu wengi siyo tochi ya kuona ubaya kwenye jambo fulani,swali hapo ni je ni kweli ubaguzi upo?
Mtoa mada anataka kila mtu alalamike,kwanini badala yake alalamike mtu mmoja,?
Kulalamika mtu mmoja kwa niaba ya wengine ndiyo amani hiyo,bila hivyo ni hatari.
Pia mtoa mada afahamu kuwa si kila jambo litaonwa na wengi,walio wengi tafakari zao wameweka kwenye mkate wa kila siku,ila wakiamshwa kama hivi ndipo huo mengi.
Hebu sote tuelewaone kuwa uteuzi unafayika kwa kuangalia uwezo wa mtu na siyo dini ya mtu. Dini wala Mungu hazitambui bali anatambua bindamu kama alivyomleta hapa duniani. Tunapochagua kiongozi yo yote huwa kuna nguvu na maono yanayotuongoza ambaye ni Mungu. Husitemee kwa vyo vyote vile ateuliwe mtu bila mapenzi ya Mungu, utegemee mema au heri kutoka kwa huo binadamu. Kwa misingi hiyo chaguo la Mungu linatoa chaguo la Mungu mambo yote yanakuwa heri baraka tele. Hivyo hivyo chaguo la shetani linazaa majanga na chaguzi zote zinakuwa makanga. Kwa hiyo sheikh anachotaka ni kulazimisha chaguzi za shindikizo ambazo kwa utaratibu wake ni ovu. Haiwezakani Raisi wa mchi aweke mizani za kupima idadi ya waislam, wakristo wahindu, wabudha, wanawake, vijana,wanaume,wasiojiweza, rika na mengi memgineo. Kwa sababu vijana wako wa kiume na kike uchambuzi unatakwa uende ndani zaidi. Hivi kwa akili ya kawaida huu si kazi chochezi sana. Labda huyu sheikh aelimishwe kuwa Raisi ni taasisi na Magufuli ni mwenyeti wa hiyo taasisi. Hii taasisi ina vigezo vya uteuzi na uchaguzi. Yeye wakati mwingine wala hajui nani anaajiriwa na nani anafukuzwa hadi ifike mezani kwake. Vigezo hafiangalii vikundi, labda na hiyo serikali
iwe na utaratibu mbovu wa kuangali jamii kwa mtazamo wa makundi na siyo vigezo vilivyowekwa na taluma husika mfano utumishi. Ambalo hili siyo sahihi.
Labda sheikh kapew kitita cha kuleta vurugu hapa Tz lakini kwa bahati mbaya agenda yake na hao jamaa zake itashindwa kwa sababu sisi ni watu wa Mungu siyo wa dini
Mungu ilinde Tanzania
Mungu ibariki Tanzania
 
Akamatwe mara moja na apelekwe Guantanamo bay haraka kabla hajaleta madhara zaidi

Tunahisi anatumika na Daesh(ISIS) au anafuata doctrine ya Al-Qaeda!! We need moderate Shia and Suni not otherwise.
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Wewe ndiyo unatumika,hoja hujibiwa na data sheikh khalifa amekuja na list ya wateule kuthibitisha maono yake,kama unapinga njoo na yako kuthibitisha ni mwongo,halafu hao islamic foundation ni wana mawazo ya kiarabu tu kuwa mwafrika anahitaji msikiti au kisima na siyo kinginecho,hao islamic foundation wanahusika vipi na waafrika na haya mambo siyo ya waarabu?kwa taarifa yako soma historia ya vita afrika,vita huletwa na malalamiko yenye kupuuzwa,angalia ethiopia leo tigre ni 11% lakini wanatawala bunge 100%,oromo na wengine wameanza fujo,somalia ukoo moja wenye 3%siad bare uongozi wa juu 90%ilikuwa yao,rwanda,uganda,sudan,angalia leo syria shia ni % ngapi na walikuwa wanatawala kwa % ngapi, hadi kugawanyika,zote hizo zimepitia shida kwa sababu ya kupuuza malalamiko,haiwezekani ukasikia mtu kama huyo sheikh akaja na data ya 83%kwa 17% halafu ipuuzwe hadi watu tufike pabaya ndiyo tutatuwe shida,wakati chuki imeshafika pabaya,unataka kuja na maoni ya madrasa hapa,njoo na data.
 
Japokuwa mm cmuung mkono sheikh khalifa lakin pia mleta maada hujatoa hoja yoyote ya maana hapo
 
Wanafiki utawajua tu wakiwa pamoja nayi hujifanya mko pamoja akiwa na makafiri anajifanya yuko pamoja acha unafiki kaka na kujiita ustaadh juma
Hv kuwaita makafir wenzio ndo umetoa hoja yenye mashiko. Ila km umeenda shule bas ni hatar coz din yako inakutoa ufaham na unaona din yako inafaa ni kila kitu hata kwa wengine.

Hv ushawah kujiuliza kwa nn ww ni muislam na mtu mwingine co. Hv unamlaumu vp mtu kwa kutokuwa muislam kwa sababu hajawah kuwa exposed na din ya kiislam na amjikuta kazaliwa co muislam. Hv jiulize mtu kuzaliwa Iraq na kawa muislam ye kosa lake ni lipi? Vp na je mtu akizaliwa Uingereza na akawa muanglikana yeye hapo unamzungumziaje. Pia din ni km kabila au rang ya mtu anakua hajachagua wala kupiga kura. Unamchukia vp mtu kuwa mchaga wakat kazaliwa Moshi au kumlaumu mtu kuwa Msukuma wakati fika unajua yy kazaliwa mwanza. Vp na wale wanaomlaum mtu kuwa mzungu wakat kazaliwa Italy.

Lakin uzur wa din mtu anaweza akabadili. Km mtu co muislam na unataka awe muislam bas kaa nae kirafik then mfundishe kwa kumshawish uzur wa hiyo din na akikuelewa atajiunga na hiyo dini.

Tafadhal mkuu naomba nisamehe kwa kuandika hal halis ya dunia. Dunian tuko tofaut sana usijetarajia kila mtu awe km unavyotaka ww au ulivyo ww. Ubaguz hauwez kukusaidia hebu kaa chin tafakar kwa utulivu bila mihemuko.

Kwa taarifa yako mm japokua mm sio muislam lakin huyu shekhe kuna hoja zake namuunga mkono pia zingine simuung mkono.
 
Back
Top Bottom