Sheikh Khalifa Khamisi anatumika na system fulani

Kwa kweli mi namshangaaga sanaaa,tena hili la kupigwa na kukimbilia chooni ilikua 2005 kwa mtoro.Anauzigi huyo mzeee acha tu.Eti leo kujikuta ye ndo msemaji wa waislamu na watu tunamskiliza ni maajabu
 
Kuwa na dhehebu kenye watu wengi siyo tochi ya kuona ubaya kwenye jambo fulani,swali hapo ni je ni kweli ubaguzi upo?
Mtoa mada anataka kila mtu alalamike,kwanini badala yake alalamike mtu mmoja,?
Kulalamika mtu mmoja kwa niaba ya wengine ndiyo amani hiyo,bila hivyo ni hatari.
Pia mtoa mada afahamu kuwa si kila jambo litaonwa na wengi,walio wengi tafakari zao wameweka kwenye mkate wa kila siku,ila wakiamshwa kama hivi ndipo huo mengi.
 
Na wewe kwanini unailaumu Irani ?nchi ambayo kwa miaka300haijawah kuvamia taifa lingine
Mtoa post unatumika pia na magamba party. leta takwimu za kumpinga sheikh sio unaleta maneno kama unaimba taarabu
 
Kwa kweli mi namshangaaga sanaaa,tena hili la kupigwa na kukimbilia chooni ilikua 2005 kwa mtoro.Anauzigi huyo mzeee acha tu.Eti leo kujikuta ye ndo msemaji wa waislamu na watu tunamskiliza ni maajabu
Mkuu hawa wanaharakati wa JF hawamfaham huyu agent but laiti wangemjua ......naomba niishie hapa tu
 
Sheikh Khalifa kaongea kwa data, kama unampinga njoo na data, Otherwise kaa kimya, No research no right to speak!.
Ujumbe utakuwa umeshafika huko ulikokusudiwa kufika

Kwahiyo unataka kila muislamu mwenye PhD awe appointed na Rais?? na kwa msingi huohuo kila mkristo mwenye PhD awe appointed bas.
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Taasisis inajulukana na kiongozi wake anajulikana. magufuli anachoangalia ni utendaji baaasi!
 
Sheikh Khalifa Khamisi anatumika na system fulani - Vatican sawa na kanisa Katoliki na waraka na Matamko yasiokwisha!
 
Kapicha kake tafadhali ili stori inoge
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Wanafiki utawajua tu wakiwa pamoja nayi hujifanya mko pamoja akiwa na makafiri anajifanya yuko pamoja acha unafiki kaka na kujiita ustaadh juma
 
Ama ni kweli au sio kweli namuona na mjinga,nchi hii hatuna sehemu inayosema kiongozi apewe madaraka kwa imani yake.
Ila hawa wenzetu wamejikita kuangalia tu nani kateuliwa,then what next,hivi dini inakufanya uwe good performer?.Kama kuna wenye imani kama ya huyo nawashauri waende shule.
Vitu vingine tatizo ni elimu na uelewa mdogo.
 
Wacha apige kelele zake za udini . Sisi twajenga nchi.HAPA KAZI TU. Porojo,hisia,chuki muda wake umepita
 
Narudia tena kuwaambia ndugu zangu tujikite kujadili hoja zenye tija na kutusaidia kutukwamua sisi watanzania wote tusipoteze muda wa kujadili mambo mepesi mepesi ya watu individual kama haya
Ata ili lafaa kujadiliwa pia kama mambo ambayo hayana maana yoyote yanaletwa humu na watu wanachangia sembuse hill mtoa mada upo sawa kabisa bigup kwa hili
 
Mkuu OSOKONI usitegemee khalifa kukamatwa

Sheikh Khalifa Khamis is a system within the system!
Kwa GT unaweza kuelewa maanake. Kwa ufupi ni kwamba ndami ya CCM na Serikali yake kuna watu hawaridhishwi na teuzi za JPM!!! Hii nchi kulingana na Katiba hainaga kitu inaitwa UDINI au UKABILA!

Magufuli tangu ameingia teuzi zake zina kaharufu ka Ukanda/Ukabila! Kuna Wasukuma kibao wamejazwa kwenye Serikali na Taasisi zake! Lakini pia idadi ya Wakristo surpasses the number of Islamic group by.a large number!!

Magufuli ameshindwa kabisa to BALANCE THE EQUATION pamoja na yeye kuwa ni mtaalamu wa Kemia na Hesabu! Kama tu ilivyo kwene Chemical equation unatakiwa kuweka uwiano sawa kwa kemikali za upande wa KULIA na KUSHOTO!
Kwa mfano akiteua Wakristo 2 lakini Wasukuma na Waislamu 2 lakini Wachaga basi ahakikishe na hu Visiwani anateua Wakristo 2 lakini Waunguja na Waislamu 2 lakini Wapemba! Magufuli anajua usipoiweka sawa kanuni ya kuchanganya Kemikali jiandae kupata mlipuko!!!!
Kama tutaenda kwa mtindo huu huenda bomu hili litalipuka na mtengezaji atakuwa ni JPM mwenyewe!!!!
 
Dini si kigezo ktt teuzi. Msiigeuze serikali kuwa BAKWATA. Shule hamuendi vyeo mnataka tuwaeleweje?
 
Serikali tuseme basi imekuwa TEC, kwani siku hizi unazisikia tena barua za kiuchungaji?
 
Govt inachojua ni kumkamata lema but huyu jamaa wanamuogopa
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Mbona kama ww ndo unatumika
Kama ni mwislam kweli jitazame upya juu ya uislam wako
Ww ni mna.fiki
 
Back
Top Bottom