Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Nadhan mleta uzi hajatazama kwa weledi wanazuoni wa kiislam wapo wengi ma dr na prof nenda vyuo vikuu vya umma nchini utawakuta mimi nadhani suala la uteuzi wa mh raisi haliusian na udini
 
Acha ujinga. Manung'uniko ya Watanzania wangapi? Tunahitaji watu wenye upeo na uwezo wa kuendeleza taifa siyo masuala ya dini. Kama dini yao hawataki kusoma, unataka nani awasomee? Nani aliwakataza kusoma? Mbona kina Jakakaya wamesoma shule za mission? Kuna makabila mangapi ambayo hawakujali shule kwa sababu ya mila zao? Hakuna njia za mkato. Waende shule wapte sifa na uwezo, la sivyo watawakilishwa kwa kuwa maendeleo yapatikanapo (kama yengelikuwa yanapatikana), yasingewabagua kulioko kuongozwa na majuha kama enzi ya jk, mwisho wake mauti kwa taifa.

Umeelewa.
Inamana hakuna Drs na Profs waislamu, mbona hatuwaoni katika teuzi zake? Na vipi kuhusu kupendelea kanda ya ziwa, mikoa mingine hakuna madr na maprof?

Acha kuchangia kishabiki mkuu, mnakumbuka miaka kadhaa tu iliyopita mlikuwa mnampigia kelele Dr Dau kuwa ni mdini sababu yeye ni muislamu na kuwaajiri waislamu ambao wamekidhi vigezo, kama hoja kuwa na sifa ya kuajiriwa mbona kwa Dr Dau mlimsema mdini, tatzo lilikuwa wapi wakati huyu wa sasa kaajiri mpaka wafoji vyeti(mabashite)??
 
Waislamu wenzangu kama sisi tuliharibu basi "Tusomeshe watoto" wafikie pale tulipopatamani sisi lakini Allah hakutujaalia kufikia
~ وابيلاهي توفيق والهيداية واراهماتولاهي بركاته البريد
 
Kuna thread humu inaonyesha waislamu ambao ni PhD holder ikiwa miongoni mwao ni ma Prof...ni wengi mnoo...waislamu wapo wasomi wengi tuu ni vile labda mheshimiwa hajaona kama wao ni kipaumbele.
 
Mbona wasomi waislamu wapo
CAG ni nani?
Makame Mbarawa ni nani?

Alafu waislamu wenzangu hebu punguzeni inferiority complex, yaani kila siku kulialia eti hatuteuliwi, ivi utakua na sifa na usiteuliwe kivipi?
Kama tumejua hatujasoma sana basi ni wakati wetu kujitahidi kusoma elimu dunia ili tuendane na mfumo wa duniani lakini suala la kulilia huruma ya rais tuteuliwe ni sawa na kuomba kuteuliwa bila vigezo halali.

Sisi tuliwekeza sana kwenye elimu ya Allah(elimu ahera), ila wasomi wapo sio kweli kwamba hawapo
Mkuu vuta picha hii ishu ya bashite ingetokea kama bashite na top wake wangekuwa waislamu, tayari wangeshamtuhumu kwa dini yake pia.
 
Kama hawakujitokeza kumtetea kwenye sakata la PhD feki wasahau kabisa. Nyie mmesahau jinsi rundo la madoctor & ma Prof walivyojitoa ufahamu kutetea udocta uliotiliwa shaka? Hiyo ndo sababu kuu iliyomtoa nyoka (Kitila) pangoni.
 
Acha ujinga. Manung'uniko ya Watanzania wangapi? Tunahitaji watu wenye upeo na uwezo wa kuendeleza taifa siyo masuala ya dini. Kama dini yao hawataki kusoma, unataka nani awasomee? Nani aliwakataza kusoma? Mbona kina Jakakaya wamesoma shule za mission? Kuna makabila mangapi ambayo hawakujali shule kwa sababu ya mila zao? Hakuna njia za mkato. Waende shule wapte sifa na uwezo, la sivyo watawakilishwa kwa kuwa maendeleo yapatikanapo (kama yengelikuwa yanapatikana), yasingewabagua kulioko kuongozwa na majuha kama enzi ya jk, mwisho wake mauti kwa taifa.

Umeelewa.
Wanaochaguliwa wanakua viongozi. Sasa sidhani kua viongozi wanazidi milioni moja. Waislamu waliosoma ni wengi tu kutosha kupewa hizo nafasi. Ni kweli kua wasio waislam walipata nafasi zaidi katika madarasa kuliko waislam. Ila haimaanishi kua hakuna waislam wa kutosha waliosoma. Acheni dhihaka
 
Jamaa akili zako zimekaa kimtume...mitume kaz kufikisha ujumbe wa kimungu uingie peponi ss wanadam tunastahili kujiongeza ili ujue kuendesha gar lazma ujifunze elim haina uislam wala ubudha...piga book utaona mafanikio..zenji mbona waislam wameajiriwa kibao na hawana elimu yahee??
 
Mbona wasomi waislamu wapo
CAG ni nani?
Makame Mbarawa ni nani?

Alafu waislamu wenzangu hebu punguzeni inferiority complex, yaani kila siku kulialia eti hatuteuliwi, ivi utakua na sifa na usiteuliwe kivipi?
Kama tumejua hatujasoma sana basi ni wakati wetu kujitahidi kusoma elimu dunia ili tuendane na mfumo wa duniani lakini suala la kulilia huruma ya rais tuteuliwe ni sawa na kuomba kuteuliwa bila vigezo halali.

Sisi tuliwekeza sana kwenye elimu ya Allah(elimu ahera), ila wasomi wapo sio kweli kwamba hawapo
Mara nyingi hizi hoja wanazianzisha ndugu zetu wakristo hapa JF. Sijui malengo yao
 
Mbona kuna Sheikh aliorodhesha PROFs na DRs waislamu kibao tu kwenye gazeti moja.

Nenda Mtambani utapewa orodha nzima na profession zao.
 
JPM KIGEZO CHA (PHD, DR, PROF) KTK TEUZI ,KINAWAACHA NYUMA WAISLAM, WALIACHWA NYUMA ELIMU DUNIA ''Nepotism''

Nafurahishwa sana na uteuzi unaofanywa la Raisi wetu mpendwa , John Pombe Magufuli , lakini kumbuka kuwa hawa waislamu ni jamii kubwa katika nchi yetu ya Tanzania, na wamepitaka katika kipindi kigumu kupata Elimu dunia ; wengi walishaeleza humu jamvini ilibidi wengine wabadili majina kama kina Jenerali Ulimwengu jina halisi ni Twaha : Na hii imewathiri kuwepo wasomi wachache sana katika level za PHD, DOCTOR, PROFESA. Kutokana na ubaguzi wa wakoloni .

Hii aina ya uteuzi uliyokuja nayo wa kuteua watu wengi wenye level za PHD,DOCT, PROF. Usifanye kama aina fulani ya kutenga jamii ya waislam . Check and balance izingatiwe

Tunafuatilia na tunaangalia kwa makini kila siku teuzi zako ;

Ni ushauri tu .

Baada ya utafiti . Aya ndo manunguniko ya watanzania katika Teuzi zako

WAZEE WA ELIMU AHERA.

NA HATA WAKISOMA NI KAMA LIPUMBA TU. BASHITE TUPU.
 
Shida mnalalamika sana... elimu dunia hamjaiwekea maanani.. rudin shule mpige kitabu.
 
Lakini hata hao "wasomi" wamelisaidia nini Taifa hili??? Si ni hao wasomi wetu ambao kila siku wanatumikia matumbo yao tu na kulifisadi/kulisaliti taifa? Wewe unaona kuna cha maana au tofauti kati ya wasomi na maamuma Tanzania?

Kulitumikia Taifa hili kizalendo na weledi chini ya CCM na Serikali zake ni sawa sawa na kushiriki kazi haramu. Ni afadhali kutoa mchango wako kimya kimya unless iwe mtu anataka mambo ya kutafuta kick za maisha au siasa. Lakini ziko njia nyingi na nzuri kuilko sisasa na vyeo kwenye mchango wa Taifa hili. Tena zina dhawabu kubwa kwa MUNGU aliye Hai.
 
Ina maana ata kama awana elimu wataleuliwe tu kisa waislam??.Mfano umpe mtu kazi ya utabibu japo ajasomea kisa muislam??
Kwa mfano umteue Mwanasaikolojia kuwa Katibu Mkuu wizara ya Kilimo na Umwagiliaji kisa tu yeye ni Profesa!
 
Nadhani anahisi kinachoongoza ni elimu na si uwezo aliojaaliwa mtu
 
Ukweli ni kwamba waislam wasomi ma phd na masters holders ni wengi mno, tofauti na zamani! labda Raisi hawapendi tu but ni wengi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom