Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe


Unazeeka vibaya wewe mzee
 
HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Unakichwa kigumu kama govi lako,hujaelewa kitu,pole sana kilaza mkuuuuuuuuu [emoji201] [emoji201] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241]
 
[emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji241]
 
Shehe RAJAB Katimba...Aise umeongea points tupu...ila sidhani kama watamchunguza sababu WOTE ni wale wale....wakati vijana wanavamiwa MAJUMBANI na police wetu....na kuulizwa NYUMBA hii umeijengaje?...kama huna maelezo mazuri unaambiwa MUUZA UNGA...wanakuchukuwa...hata kama hawajakuta kitu...sasa iweje MTU ana maghorofa na Mali kibao kipindi cha miaka 2 tu ya UONGOZI.. na MAMLAKA HUSIKA wapo kimya...kana kwamba hakuna kinacho tuhumiwa dhidi Yake...huyo bwana DAUDI ahojiwe...hakuna ASIYEPENDA KUHONGA MAGARI na nyumba....ila tunafata maadili ya utumishi wa umma na ..nasema kwa sauti kubwa achunguzwe...DAUDI BASHITE...
 
Hivi wale mashehe Wa Zanzibar bado wako magerezani,
 
Mzambia
 
Ohooooo!!!
 
Usipotoshe, wamesema wanaunga mkono wasichotaka ni vita kuongozwa na wanasiasa wasio na weledi katika mambo hayo, na serikali iache double standard ya wabwiaji unga wengine kupelekwa Rehab wengine mahakamani! Umeelewa?
Ataelewa saa ngapi wakati anatumia makalio kufikiri
 
Nawaona kamati ya aman mkoa Chini ya sheikh SALUM na yule Askofu wakitoa tamko rasmi.
 
Akili zako na umri wako ni vitu viwili tofauti unapenda kuongea bila kufikiria [emoji53][emoji53][emoji53]simamia kwenye hoja punguza njaa na kujipendekeza.
 
HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
ukiambiwa akili zako za kuku mtetea...unabisha...
 
Kuingiza buku saba raha sana..kwan buku saba inakufanya akili itoke ihamie makalioni
 
Mfuasi wa bi kirembwe at work
 
Halafu hawa washkaji kuna kashfa za mabati wanapitisha kimya kimya bandarini kutoka China lakini mijitu inakaa kimya tu,simply Makonda ni mshkaji wao.
Kwa mfano.
Wanaleta makontena 14 wanalipa manne (4)
Halafu kumi.... nawanukuu...wanajilipua.STUPID.
Mkuuu mwaga mboga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…