Sheikh Katimba: Makonda achunguzwe


Mkuu
Hata huyu Shehe Katimba huwa hamung'unyi maneno!Ni mmoja wa wanazuoni wachache sana TZ wanao simamia ukweli
Yule Shehe wa Mkoa wa Dar ni mtu wa hovyo hovyo tu na kazi yake kulamba watawala
Anyway kahaidiwa na Makonda kujengewa ghorafa
 
Katimba answari wavaa suruali njiwa atasikilizwa na nani.
Huyu ni Shekhe wa Lowassa,ana kijimsikiti nyumbani kwa Lowassa,na ndie anaemfanyia Duwa Lowassa kuhusiana na yale matatizo yake.Ziara zote za Lowassa yupo pembeni eti anamkinga majini ya maadui wa Lowassa yasimkumbe
Kiufupi Katimba ana njaa kali sana kiasi walikubaliana na Lowassa akiwa Rais,yeye atakuwa shekhe mkuu baada ya kuvunjilia mbali Bakwata
 
Mkuu
Hata huyu Shehe Katimba huwa hamung'unyi maneno!Ni mmoja wa wanazuoni wachache sana TZ wanao simamia ukweli
Yule Shehe wa Mkoa wa Dar ni mtu wa hovyo hovyo tu na kazi yake kulamba watawala
Anyway kahaidiwa na Makonda kujengewa ghorafa
We humjui katimba..unawaingiza kingi n.y.u.m.b.u wenzio.
 
Hilo swali muulize makonda, kwann yy anachukua story za kusadikika kwenye vijiwe na kumpelekea sirro kama ushahidi???so na yy ni mumbeya kama usemavyo???
 
Kumbe shehe mkuu anapatikana kwa ushawishi wa Rais aliyepo madarakani, sikulijua hili. Japo nina mashaka nalo kama lina ukweli
 

- HAHAHAHAHAHAHA Katimba kutoka U deejay zamani mpaka kuwa Sheikh only in Tanzania hahahahaha, hiyo Taasisi yake ni ipi na BAKWATA ni ipi? hahahahahaha KAtimba wewe mshikaji maan wacha haya mambo utajichafua bure hayakuhusu wachana na wanasiasa watakufikisha pabaya, mambo ya siasa waachie wanasiasa huyawezi kama vipi rudia kupiga Disco kama zamani.

- Wamekubebesha zigo usilolijua hukusoma gazeti la Mtanzania kuwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Taifa inawataka Wabunge Msukuma na Selasini kupeleka ushahidi wa maneno yao juu ya mali za MAkonda mpaka leo hawajaenda, I mean kwa nini Viongozi wa Dini mnjiingiza kwenye mkenge hivi?

le Mutuz
 
Had mashe nao siasa? Mola anawaona mahs mirija ya pes.a imekat.a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…