You must be highly misinformed to associate this with your damb ass politics. Makonda si mfanyabiashara wala entrepreneur amepata wapi fortune? Mshahara na marupurupu yake inajulikana haiwezekani kujikusanyia fortune alitonayo. Mwl Nyerere alisema wazi kama unataka kuwa tajiri nenda kafanya biashara usitegemee utumie madaraka ujitajirishe. You hear that oldman? Mwisho ningepende nikuulize have you taken drugs today? Unautatizo la schizophrenia. Better go and see your doctor dumb assHuyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.
hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA
You must be highly misinformed to associate this with your damb ass politics. Makonda si mfanyabiashara wala entrepreneur amepata wapi fortune? Mshahara na marupurupu yake inajulikana haiwezekani kujikusanyia fortune alitonayo. Mwl Nyerere alisema wazi kama unataka kuwa tajiri nenda kafanya biashara usitegemee utumie madaraka ujitajirishe. You hear that oldman? Mwisho ningepende nikuulize have you taken drugs today? Unautatizo la schizophrenia. Better go and see your doctor dumb ass
Wale ni BAKWATA huyu sheikh ni answar SUNNA wale wanaovaa suruari fupiHivi ule msikiti makonda alowaahidi atawajengea ameshaunga?
Government inayowajibu kuchunguza hilo kwasababu inavyo vyombo vya uchunguzi na hilo ndiyo jukumu lake.Mali zake wameambiwa waliotuhumu bungeni wapeleke ushahidi tume ya maadili wafuatilie wamekataa kupeleka.Wewe utasemaje zipo wakati waliotuhumu wamekataa kupeleka ushahidi kwenye vyombo husika wakati bungeni walidai ushahidi wanao.Huyu shehe uhakika kautoa wapi wakati waliotoa tuhuma hawana ushahidi wa kutoa?
Acha double standards. Selasini alikataa kupeleka ushahidi kwasababu yeye si mpelelezi apate nguvu yakuchunguza.
Ndugu ulipewa ubongo kufikiri not acting like a fool.Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
Umesoma ukaelewa mkuu au ndo nyie mnapitia comment na kuhis ushaelewa kila kituHII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Nina uhakika wewe sio muislamu, ndio maana ume comment hivi, ungetafuta ushauri kwa waislamu hata huko bakuata huone wangekujibu nini.Huyo ni yule sheikh ambaye siku zote ana vita na BAKWATA.Wivu umemjaa kuona Makonda ni rafiki wa BAKWATA na mfalme wa moroco anawajengea msikiti mkubwa pale .Huyu ni sheikh wa UKAWA .mASHEIKH wao ni wale WA answar sunna wagomvi wa bakwata.
hapa chini ni meya wa jiji la dar es salaam akisalimiana na DARWESHI DUME kwenye maulidi aliyoalikwa ADA ESTATE mikocheni kama mgeni rasmi.Hao ndio masheikh wa UKAWA
Mapenzi yako kwa kondakta yamepitiliza! Kunani?!Kama selasini sio mpelelezi aliropokaje kitu ambacho hajapeleleza .Ina maana ni mumbeya anayeokota habari vijiweni na kuzirusha bungeni.Nampongeza bunge kukataa kurusha LIVE nmaana tungekuwa tunalishwa umbeya wa akina SELASINI. no research (upelelezi) no right to speak.
Usipotoshe, wamesema wanaunga mkono wasichotaka ni vita kuongozwa na wanasiasa wasio na weledi katika mambo hayo, na serikali iache double standard ya wabwiaji unga wengine kupelekwa Rehab wengine mahakamani! Umeelewa?HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mashehe wa dar wanapenda meza kuu za ccm kwa ajili ya pilau Kuku.
Sasa na wewe mheshimiwa hebu fafanua. Hapo wamepingaje? Au kupinga ni kutaka mali zenye shaka anazomiliki Paulo zichunguzwe?HII NDO ILE JUMUIA YA SH.PONDA HATUWASHANGAI KUPINGA VITA DHIDI YA UNGA. WAO KAMA CDM VILE KILA JAMBO LA SERIKALI NI BAYA .
Unawajua wanazuoni wewe???..I doubt!!Sheikh Khatimba na Sheikh Ponda ni miongoni mwa wananzuoni wachache sana tuliobaki nao hapa nchini wenye uwezo wa kusimamia kile wanachokiamini.Ukiona kiongozi wako wa dini anaalikwa kwenye makongamano na press conference ili tu aje kutumia Vitabu vitukufu kuhalalisha upuuzi wa serikali,basi fahamu kiongozi huyo si wa kumwamini tena.
Hongera Sheikh Khatimba kwa kuusimamia Ukweli.