PreGE2025 Sheikh Kabeke akemea uchaguzi wa kihuni

PreGE2025 Sheikh Kabeke akemea uchaguzi wa kihuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
amesemaje hapo kwenye dakika ya....? au basi nitajibu kulingana comment
 
Shekhe wenzake watamuelewa na kubadili mtizamo.. Amenena vyema wote ni watanzania kuwa ccm ukapata cheo haina maana wapinzani kila wana chosema ukosoe.. Itoshe hata kuita chama rafiki siyo mpinzani..
 
Nyinyi wanasiasa wewe ni CCM umebahatika umeshika dola haina sababu kwa kuwa wewe una dola unamuona CHADEMA na wananchi unaona ni wabaya, hii ni nchi yetu sote
View attachment 3311207
Swala la kutenda haki hata kwenye ngazi ya Familia ni jambo ambalo halina mbadala kwa jamii ya watu wenye Utu.

Nje ya hapo basi mtu ana agenda nyingine.
 
Hakika sisi sote ni watanzania na hii inchi ni yetu sote hivyo wote tuna haki sawa...Hongera sheikh!, ww na wachungaji pamoja na maaskofu wengine kweli ni binadamu.
 
Back
Top Bottom