THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,543
- 14,803
mtt mganga wa kienyeji niambieee
Oooh bint yangu remote hujambo?
Hebu katika katika katikaa mpaka chini..
Katika mabwana wapo hapa wanataka kuleta posa wakuchukue...
Sasa chagua unataka kwenda kukalia upanga kwa mumeo ritz au unataka kwenda kalia kigogo kule kwa mumeo kahtaan??
Chaguo ni lako tuh bint yangu.