Sheikh Jongo bado ana mengi ya kujifunza

Sheikh Jongo bado ana mengi ya kujifunza

Status
Not open for further replies.
Naona wewe Homo Sapien siku nyingi sasa hujapata ban. naona unitaji kupumzika ili urecharge battery zako-tutaliangalia swala hilo
Teh teh teh! Umeamua kuomba msaada baada ya kumtaja mtume wenu.

Juzi tu nimetoka kwenye ban wala unaweza kuwambia Mods wanipige ban ingine kwangu siyo tatizo.

Wewe kumtaja Kighoma Malima ulikuwa upo sawa.
 
Mtukufu wenu mwenyewe kaja Dar es Salaam na kaptura waungwana wakamfundisha jinsi ya kuvaa au nikuwekee picha wengine tumewapeleka sunna leo mnatutukana.
sasa naomba uniambie hapo katika picha nani muungwana???
5404720835_a8ea27eff7_b.jpg
 
faida ya kunywa damu ya yesu
1.utapata kuingia chooni kwa mguu wowote na majini ya chooni hayawezi kukufanya chochote

2.mashetani hayatalala tena kwenye pua zako

ukinywa ya paulo mashetani hayatatoka kwenye pua zako.

Sasa nilikuuliza kule nyuma lkn ukakimbia!
Hapa umekuja mwenyewe na hio ngozi ingine!

Paulo anasema ktk

1 WAKORINTO 6

6 Ni askari gani aendaye vitani wakati wo wote kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye mizabibu asiyekula katika matunda yake? Au ni nani achungaye kundi, asiyekunywa katika maziwa ya kundi?

Na HAPA ANAULIZA!

1 WAKORINTHO 10.

Ikiwa sisi tuliwapandia ninyi vitu vya rohoni, je! Ni neno kubwa tukivuna vitu vyenu vya mwilini?

HUYO PAULO ANATAKA KUVUNA KITU GANI MWILINI KWENU!??

Naomba mipasho uiwache kidogo ili wasomaji wapate faida japo kidogo.
 
sasa naomba uniambie hapo katika picha nani muungwana???
5404720835_a8ea27eff7_b.jpg
Unaniletea picha ambayo siwafahamu watu wake halafu unaniliza maswali huyu mzungu anaweza kuwa shoga, wewe mtumw wa akili kweli mzungu akitembea uchi akakuambia ili uwe mungwana na wewe tembea uchi unakubali na kushangilia kisa aliyekuambia ni mzugu wamepitisha sheria ya mashoga kuolewa kanisani nadhani utaifuata hiyo sheria.
 
mtoto wa kike kuwa muongo haipendezi mbona katika harakati hizo hawakujiita Hezbollah au Muslim Brotherhood??? waliamua kujiita Tanganyika African Association (TAA) na baadaye Tanganyika African National Union (TANU) kwasababu harakati zao za kupigania uhuru ziliunganishwa na utanganyika wao; hiz porojo zenu za Kariakoo tafuteni wajinga wa kuwahadithia.

Usichokielewa ni usiku wa kiza, hujuwi kuwa haohao waliovianzisha hivyo vyama ndio waanzilishi wa AlJamiatul Islamiya fi Tanganyika. Na kati ya haohao ndio walikuwa EAMWS.

Mbona wewe hukujiita Nadi umejiita Chama?
 
Unaniletea picha ambayo siwafahamu watu wake halafu unaniliza maswali huyu mzungu anaweza kuwa shoga, wewe mtwa wa akili kweli mzungu akitembea uchi akakuambia ili uwe mungwana na wewe tembea uchi unakubali na kushangilia.

Teh teh teh!
Mkuu hayo ndio matatizo ya kutumikishwa na hao wazungu!

We huoni mpaka hio picha ya mungu wake ni ya mzungu!?
 
Unaniletea picha ambayo siwafahamu watu wake halafu unaniliza maswali huyu mzungu anaweza kuwa shoga.
hapo ilikuwa just before independence,huyo mchoraji obviously ita kuwa mwenyeji wa dar,huyo mwenye suti somi jitu la bara na huyo mzungu mkoloni-Sasa hapo nani muungwana???
 
hapo ilikuwa just before independence,huyo mchoraji obviously ita kuwa mwenyeji wa dar,huyo mwenye suti somi jitu la bara na huyo mzungu mkoloni-Sasa hapo nani muungwana???
Nani kakwambia watu wa bara siyo waungwana mbona unachanganya mambo hebu chukuwa hiyo picha yako ya mzungu kaifadhi ulipoitoa.
 
Kwanza umesha chakachua ayah

Weka aya alafu urudie swali, na ujiandae kujibu maswali ya kule ulikokutaja maana wewe unasema nilikimbia wakati wewe uliomba mada ufutwe na ikafutwa.

Mipasho nilishakuachia wewe mimi nashusha ayah, inamaana siku hizi hadithi za mtume na quran ni mipasho?

Schniedler ungemjua tu hata baba yake na LUKA. Mapepo yasingekusumbua
 
Ebu tupe tafsiri ya neno ulilolitamka kafiri ni neno la lugha gani na ni nini maana ya kafiri kwa kiswahili?

Kafir ni yule anaechukua picha ya mzungu kisha akaiweka sebuleni kwake na kuiabudu huku akiita mungu.

Kafiri au mgalatia mla vya haramu kama nguruwe na nyamafu huwa hana akili

Anafungisha hadi ndoa za mbwa na mwanadamu huyo ndiye kafir kama wewe...

Does it make a sense to you kafiri???
 
Sisi huwa hatusumbuliwi na mapepo! Chooni huwa tunaingia kwa miguu yate, mashetani hayalali kwenye pua zetu! sasa tunasumbuliwaje na mapepo?

Sasa yale mnayotoana makanisani mmeyapata wapi??

Kweli makafiri hamna akili..

Sasa sodoma na gomora mshafanya kuwa ada kwenu siyo??
 
Kafir ni yule anaechukua picha ya mzungu kisha akaiweka sebuleni kwake na kuiabudu huku akiita mungu.

Kafiri au mgalatia mla vya haramu kama nguruwe na nyamafu huwa hana akili

Anafungisha hadi ndoa za mbwa na mwanadamu huyo ndiye kafir kama wewe...

Does it make a sense to you kafiri???

Nafatilia hii thread kwa juu juu tu, nendeni nao polepole mashekh tunaweza kuwaslimisha mda si mrefu so punguza hasira....
Allahu akbar
Cc kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Nafatilia hii thread kwa juu juu tu, nendeni nao polepole mashekh tunaweza kuwaslimisha mda si mrefu so punguza hasira....
Allahu akbar
Cc kahtaan

Insha allah..

Nimeskia na nimetii...

Ngoja tupunguze ukali wa maneno huenda haki itawapambanukia wakaitambua ili iwaokoe na ghazabu za Allah na moto wa jehannamu Allah jalah jalali atuepushe nao..
 
Last edited by a moderator:
Yale ni waislam ndio huja kutolewa! nyie simnayatafutia mkeka na manukato na kuyaomba yatulie, sisi huwa hatuyaombi tunayaamuru yatoke na yanatoka NA NDIO MAANA WAISLAM HAWAISHI KUJA KUTOLEWA MAPEPO KANISANI,
wanarogana sana hawa,unaweza kulikuta hata somi kama Ritz,lina hirizi kibao kiunoni eti linajilinda- nenda kanisani wakuondolee huo mzigo wa kilo unaobeba kiunoni
 
Last edited by a moderator:
Insha allah..

Nimeskia na nimetii...

Ngoja tupunguze ukali wa maneno huenda haki itawapambanukia wakaitambua ili iwaokoe na ghazabu za Allah na moto wa jehannamu Allah jalah jalali atuepushe nao..

Amin amin.... Tatizo kubwa hawa watu wanausoma uislam kwa jazba na si kwa kutaka kujua nini kimo ndani yake, hayo yote wanayosema sijui mapepo, mara majini waulize wamesoma wapi hadi wayahusishe na uislam? Kama hajasikia mtu akisema na yy anakariri. Kuna watu wenye akili zao wamefatilia na kujua ukweli kuhusu uislam. Kuna kitabu cha Salim Boss hebu kitafute kimeandikwa IMMA WAO NI WEREVU MMO AU WAJINGA MNO.
 
Huyo mjanja wenu Mohamed Said kasoma St Joseph kila siku asubuhi assembly alikuwa akiukunguta msalaba kwenye forehead-naamini deep inside haya mambo ya hirizi in private haamini-mbele yenu huyaona poa akiogopa kuwa isolated na wana jumuiya
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom