Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,451
- 14,685
"Unajua kitu chochote ili kianze upya kinatakiwa kuna kitu kifanyike sasa ili Mimi na wewe ili tuanze upya katika mambo ambayo tulifanyiana yawe yamekufurahisha wewe hayajanifurahisha Mimi au yamenifurahisha Mimi ila wewe hayajanifurahisha.
"Kitu pekee kinachosababisha hawa watu waanze upya ni kuombana msamaha. Ninapokwambia wewe nisamehe na wewe ukasema nimekusamehe kuanzia pale tunafuta yote na tunaanza upya"- Sheikh Ibrahim Wasome