Sheikh Gologosi afariki duniya

Sheikh Gologosi afariki duniya

Barubaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Posts
7,161
Reaction score
2,329
INNA LILAHI WAINNA ILAIHI RAJIHUNNA

kwamba Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana Marehemu Gorogosi aliondoka Dar leo kwa ndege kwenda Lindi kupitia Mtwara, akashuka na ndege mtwara kwenda Lindi gari ambapo inasemekana tairi la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka na gari kupinduka.
 
Mkuu tayari kuna bandiko kuhusu hili swala na limejadiliwa sana kuanzia jana.
 
Kaimu Mufti Mkuu, Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kwenda Lindi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana Marehemu Gorogosi aliondoka Dar leo kwa ndege kwenda Lindi kupitia Mtwara, akashuka na ndege mtwara kwenda Lindi gari ambapo inasemekana tairi la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka na gari kupinduka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom