Sheikh Farid wa Uamsho: Tuliumwa na Corona tukiwa jela

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
515
1,364
Tuliumwa na Corona tukiwa jela tulikuwa Kama 40 hivi tuliopatwa na Corona jela lakini tulitibiwa vizuri tulipewa dawa ya Azithromycin na dawa nyingine ya pumu kila siku kidonge kimoja kwa siku tatu na tunamshukuru Mungu tulipona wote ni mitihani ambayo kwa binaadamu ni kawaida kupata.

Kipindi tulipopata Corona mwaka jana tulikuwa hatusikii harufu ya chochote hata ulete mafuta ya kunukia kiasi gani upitishe puani harufu tulikuwa hatusikii na ilikuwa ni kwa wote tulipatwa na wasiwasi huenda Hali yetu ya kawaida isingejirudia na kifua kilikuwa kinabana Sana

Naomba niwashukuru wote mlioguswa na sisi kuwa jela mliosimama na sisi katika kipindi kigumu na mpaka uonevu huu ukaondolewa..

Sheikh Farid Uamsho
 
Hints:
  • Azithromycin
  • Dawa ya pumu kidonge kimoja kila siku, ndio ipi hio?
 
Tuliumwa na Corona tukiwa jela tulikuwa Kama 40 hivi tuliopatwa na Corona jela lakini tulitibiwa vizuri tulipewa dawa ya Azithromycin na dawa nyingine ya pumu kila siku kidonge kimoja kwa siku tatu na tunamshukuru Mungu tulipona wote ni mitihani ambayo kwa binaadamu ni kawaida kupata.

Kipindi tulipopata Corona mwaka jana tulikuwa hatusikii harufu ya chochote hata ulete mafuta ya kunukia kiasi gani upitishe puani harufu tulikuwa hatusikii na ilikuwa ni kwa wote tulipatwa na wasiwasi huenda Hali yetu ya kawaida isingejirudia na kifua kilikuwa kinabana Sana

Naomba niwashukuru wote mlioguswa na sisi kuwa jela mliosimama na sisi katika kipindi kigumu na mpaka uonevu huu ukaondolewa..

Sheikh Farid Uamsho
View attachment 1843066
HIVI KWA AKILI YAKO BADO UNAONA ULIONEWA? NAONA BADO AKILI HAIJAWAKAA SAWA NYIE MLIYOYAFANYA UNAJIFANYA HAMUYAJUI AU NI MAKUSUDI TU MUONEWE HURURMA?
 
Back
Top Bottom