Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

Nisaidie andiko japo la leo lilorekebeshwa kuwa Yesu kaondoka na katuwachia kitabu kifahamikacho kwa jina la "BIBLIA".

Wewe jiulize kwanza kwanini Quran inaitawaita wakristu watu wa kitabu? Dah, ujui hata Quran

Soma hii

Sura 9:29

Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii
 
Bahati mbaya sana watu wanabeba taarifa bila kuzichambua kihistoria, kuna watu wanaamini kuwa Yesu alikuwa mkristo kumbe sio kweli! ukristo umeletwa na akina Paulo(Sauli) miaka mingi baada ya Yesu kufa! Yesu na Mitume wengine kabla yake walikuwa mayahudi (Judaism).

Ooh yes.

Unafunguka bara bara kabisa.

Tell them.
 
Gaidi ni gaidi tu, kwani wakati anaua watu aliwauliza kama wanatokea Tanganyika au Zanzibar?. Asurubiwe kabisa huyu gaidi mwenye asili ya kiarabu. Aende kwao uarabuni aue waarabu wenzake na siyo huku

Na ww babu yko katokea Rwanda tukupeleke kwenu .
 
Kwani wewe unapinga maneno haya kwenye Quran? hauburuzwi?

Quran 18:86

Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Sasa ili uonekane mungu Wa waislamu anasema uwongo na kuwaburudha wanaomtii na kumnyenyekea basi ungalitupa maneno ya waandishi kutoka katika bible inayoonyesha jua linapozama halizami kwenye matope.

Hapo ungejenga hoja nzuri sio kukosoa bila ya solution.

Kuandamana kupinga mauaji ya palestina na kusapoti ni vitu mbali mbali! Waliokuwa wakiandamana ni waislamu Wa zile nchi za magharibi lakini viongozi wao shangwe wanafurahia.

Jee hili LA ZNZ kutoka kwa nyerere na mkapa mbona hukulisema ili ionekane mungu wa waislamu ni muongo hivyo maneno yake yaliyomo kwenye hiyo 5:51 hayatimii.
 
Bible imeleta habari njema za Mungu, hakuna siasa wala kuelezea maumbile ya Dunia.

Wewe unamsema vibaya Nyerere kwa sababu ya lecture za mashekhe uchwara za kumchafua Nyerere. Nyerere alitaifisha shule za Kanisa ili waislam pia mpate elimu. Sasa hao mashekhe uchwara wamewafanyia nini zaidi ya Kumdharirisha Nyerere kwenye mihadhara?
 
Hhahaha, mara ngapi mmetuchomea makanisa tumewaacha, kuanzia mwaka 2001 mmechoma makanisa zaidi ya 30, mbona tumewaacha?, Mmeua Padre Zenji na Kutupa Bomu Olasit Arusha, mmeua mchungaji Geita, mbona tumewaacha?, mmewahi kuona tunaandamana kulalamika?. Pole sana, tafakari kwa umakini mistari hiyo

Hakuna kupigana kwa kwa njia ya Mungu, Mungu angekuwa mgomvi angeisha tumaliza maana kila siku tunamkosea, Mungu ni mwenye Upendo, hakika Mungu hawezi kuamulisha viumbe wake wamwage damu na kuacha yatima wakiteseka

Makanisa mnachoma wenyewe kupitia usalama Wa taifa ili viongozi Wa kikafiri walioko serikalini wapate kuwatesa waislamu.

Wapi ilimalizikia propaganda ya serikali dhalim kuwa wapemba wanakunya kwenye visima, mashule na kwenye masoko?? Si waliiondoa wapemba wao wenyewe baadae ya kufanya Doria Usiku katika mitaa yao na kufanikiwa kuwakamata usalama Wa taifa wakiwa na ndio za mavi wanataka kupakaza katika shule iliyopo shumba mjini Pemba.

Baadae ya RAIA kutoka kipigo cha haja huu sasa ni mwaka Wa 15 huu upuuzi uliondoka moja kwa moja.

Pandre mushi ZNZ waliomuuwa ni wauza unga wenzake, wazungu Wa tindikali ni kazi ya usalama Wa taifa na vibomu uchwara pia ni kazi yao.

Wanafanya hata kuwahadaa walimwengu kuwa Kama muungano unavunjika basi ZNZ haitakalika wakati dunia inajua ZNZ ili kuwa baridi na salama kabla ya muungano huu
 
Bible imeleta habari njema za Mungu, hakuna siasa wala kuelezea maumbile ya Dunia.

Wewe unamsema vibaya Nyerere kwa sababu ya lecture za mashekhe uchwara za kumchafua Nyerere. Nyerere alitaifisha shule za Kanisa ili waislam pia mpate elimu. Sasa hao mashekhe uchwara wamewafanyia nini zaidi ya Kumdharirisha Nyerere kwenye mihadhara?

Pia aliwanyang'anya waislamu Mali zao nyingi tu zisizo na idadi.

1)Nyumba zote za msajili Wa majumba

2)Majengo ya hospital ya Muhimbili n.k

3) pesa za ZNZ zilizokuwa jumuiya ya E. Africa.

N.k
 
SHEIN anasema, Uamsho walijisajiri kama kikundi cha kuendesha mihadhara ya Kimafunzo ya Kiislam. Lakini tukashangaa jinsi muda unavyokwenda wanaanza kufundisha chuki, wakaanza kujiingiza kwenye siasa za kuvunja umoja
 
Pia aliwanyang'anya waislamu Mali zao nyingi tu zisizo na idadi.

1)Nyumba zote za msajili Wa majumba

2)Majengo ya hospital ya Muhimbili n.k

3) pesa za ZNZ zilizokuwa jumuiya ya E. Africa.

N.k

Nyerere alikuwa na lengo zuri sana la utaifishaji. Tatizo kuna washinda kwenye kahawa wanapotosha watu walioishia darasa la saba. Ukikuta mwislam aliesoma akaelimika huwa ahaangaiki na mashekhe ambao hata darasa la saba hawakufika
 
Ni kwa sababu anajua kule Zanzibar watamwachia huru licha ya kuingiza watu wa kufanya Ugaidi Zanzibar
Laiti kama wanzazibar wangehitaji serikali moja ya muungano........kusingekuwa na shida yote hii....................lakini wanzazibar hawataki muungano wanataka nchi yao iliyopotelea mikononi mwa Tanganyika(Tanzania)..................shida ipo hapo............
 
Magaidi huwa wanajifanya kutetea umma ili kupata public support ili kutimiza azma yao ya Ugaidi, magaidi wengi utasikia "tunapigania waislam wenzetu wanaoteseka sehemu fulani". Kumbe lao kubwa ni kumwaga damu. Kama kweli wanataka Zanzibar huru kwanini waue mapadre kwa kuwapiga Risasi? Mbona wamwagie tindikali na kurushia mabomu mashekhe wanaopinga Ugaidi?, mbona wasiandamane hadi bungeni au kwa Rais wa Zanzibar kama kweli lengo ni Zanzibar huru? mbona kwenye mihadhara wanakashfu ukristu?

Hawana tofauti na ukawa wanaodai kupigania katiba ya wananchi mkuu...!
 
Nina wasiwasi unaweza ukawa teja, anayeelimika hawezi kuwa anaongea pumba kama zako.

teja ni wewe nguruwe,waislamu wengi mnaamini kuwa mkiua mtu mtakwenda peponi huo sio utahira kweli.mnaamini kuwa kule mtakuta wanawake wazuri na kupewa kufanya nao uzinzi hapo ndipo nilipongamua kiongozi na mwasisi wa dini hii alikuwa anaongozwa na majini alipokimbilia kule pangoni alipokuwa anatafutwa kwa kufanya uasherati na mke wa mtu
 
Haya maneno yako ndio mila na utamaduni wa wanaojiita wakristo, matusi na kashfa ni moja katika ibada ya wakristo.

Siku zote unaposema jambo lolote lile basi huwa na uzito zaidi pindipo ukiweka ushahidi.

Hebu tuonyeshe huo ushahidi kutoka katika kitabu cha waislamu unaosema muislamu akiua MTU anakwenda peponi!

Na huko atapewa wanawake wazuri ili azini hao.

Kama huna basi nibora ukae kimya utakuwa MTU wa maana kwenye kujiheshimu ambae hawaweki rahani wazazi wake.
 
Hao viongozi wa kikafiri unamaanisha Jakaya Kikwete, Dr. Bilali, Rashid Othman au Mohamed Chande?

Back
Top Bottom