Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,306
- 271,576
Hebu jionee Mwenyewe
===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
Halafu Toa Maoni yako