Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

Nilikuwa nasikiliza maelezo ya huyu Sheikh anaeleza maana ya Los Angels mji ulioko Pwani ya Magharibi ya Marekani katika jimbo la California.
  1. Sheikh anadai kuwa Los Angels maana yake ni Malaika waliopotea (#Lost Angels).
  2. Anasema Los Angels kuna jiwe kutoka mbinguni lina ukubwa wa kilometa 12. (#Ni ukubwa siyo urefu)
  3. Anasema ni jiwe aina ya Kimondo kama cha Mbeya (#Kimondo kipo Songwe siyo Mbeya)
  4. Anasema kazi ya vimondo Mungu kaieleza katika surat jin 72:13
  5. Kwamba kuna majini wachafu walikuwa wanaenda mbinguni kuchukua taarifa na kuwaletea watu duniani
  6. Ndipo mwenyezi mungu akaandaa malaika wanaotembea na vimondo au mawe yenye moto
  7. Mawe ama vimondo yanatoka katika ozone layer
  8. Wale majini wachafu wanapoenda kuchukua taarifa wale malaika huwarushia majini hao mawe ya moto. Mawe hayo yanatembea kwa speed zaidi ya umeme au sawa na jini ama mwale wa moto.
  9. Jini anaweza toka Marekani hadi Dar es Salaam kwa sekunde 2
  10. Lile jiwe kubwa la kimondo lililoko Los Angels lilitumika kuwapiga majini wawili waasi ambao walikuwa wakubwa. Kwa hiyo lile jiwe kubwa la km 12 liliwapiga na kuwakandamiza hadi leo hapo Los Anges na hivyo kupeleke mji huo kuitwa Los Angels au Malaika waliopotea😂😂😂
Msikilize Sheikh hapa chini kwenye video
View attachment 3292204

View attachment 3292207

========
Los Angles ni mji uliko pwani ya Kusini Magharibu ya USA. Neno "Los" ni la asili ya Spanish na ni sawa na article "The" katika lugha ya Kingereza. Hivyo kwa Kingereza Los Angles ingeandikwa The Angles ama Malaika kwa Kiswahili. Chanzo cha mji kuitwa Los Angels ni wahamiaji wa Kispanish ambao waliupa mji huu jina la "El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Porciúncula,"

Kwa kifupi wanaita mji wao "Los Anges"

ama kwa Kingereza ingetamkwa

"The Town of Our Lady the Queen of Angels of Porciúncula."

Kwa Kiswahili tungeweza kutafsiri kama

"Mji wa Mama Yetu Malkia wa Malaika wa Porciúncula."

Mji huu hauna uhusiano na malaika waliopotea

Huyu Sheikh asirecord tena uongo wake kama alivyo ahidi maana ataonekana hamnazo

View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1905553597313532369?t=50ACyzvtsdSdKKIIAUW6IA&s=19
 
Hizi dini ni kama kizibo na chupa. Noma sana

Wasikilize hawa
View attachment 3292303
Tatizo lipo kwenu Wagalatia mnaomuona kila aliyevaa kanzu na kofia ni mtu wa kusikilizwa katika .jambo ya dini.

Kusemea Uislamu unahitajia Elimu huyo Sheikh wakina Mazinge , Kipoozeo nk Waislamu tunaofutailia mambo ya kielimu hatu wazingatii kama references au watu wa maana katika dini bali ni miongoni mwa Masheik wa mchongo
 
Huyu sheikh ni genius, yaani kwa elimu ya madrasa kajitahidi Sana kuelezea. Angefika la nne Kama kibajaji angetisha Sana.
 
Tatizo lipo kwenu Wagalatia mnaomuona kila aliyevaa kanzu na kofia ni mtu wa kusikilizwa katika .jambo ya dini.

Kusemea Uislamu unahitajia Elimu huyo Sheikh wakina Mazinge , Kipoozeo nk Waislamu tunaofutailia mambo ya kielimu hatu wazingatii kama references au watu wa maana katika dini bali ni miongoni mwa Masheik wa mchongo
Kuna mdau kasema ni Kama nabii Tito tu! Hajakosea.
 
View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1905553597313532369?t=50ACyzvtsdSdKKIIAUW6IA&s=19%5B/URaL%5D

View:
Matokeo%20ya%20kukimbia%20shule.
 
Hatuwezi kukaa kinyonge ilhali jf ina watu wenye ilim, ngoja waje hawa watupe na hizo aya kabisa.
adriz , baba-mwajuma , DR Mambo Jambo karibuni
Ahsante kwa kunitag , Mimi si mtu mwenye Elimu bali mtafutaji elimu.

Huu uzi ungekuwa wa maana kama ungehusisha kitu kuhusu Qur'an au Sunnah na sio kuchukua maneno ya mtu binafsi na kuanzishia Uzi , ila tatizo ni Mgalatia wao kwao kila mtu msemaji wa Dini wanadhani kwetu sisi hali ni sawa wakati kiuhalisia sisi kuisemea dini au jambo lolote la dini Kuna misingi na mipaka yake ya kielimu.

Sijaangalia video zote ila huyo Sheikh mazungumzaji Dr Sule , ni miongoni mwa wapotoshaji wakubwa wa Dini hata mambo anayojifanya kujua ya kisayansi na kihistoria mengi tu anaongopa na kufosi uhusiano na Qu'ran , na alivuka mipaka na kuruhusu kutumia majini .

Sasa mtu kama huyo mwenye makandokando kibao haifai kuchukua jambo lake lolote katika dini na kwenye mengine inapaswa tuwe makini nae kwa sababu muongozo.

Humu Magalatia ambavyo extremists hayajui yanashangilia tu kwa vitu ambavyo Uislamu hatuhusiki navyo maana huo ni ujinga binafsi wa mtu na dini yetu inatuhimiza tusome na huyo sio msemaji wetu.
 
Tatizo lipo kwenu Wagalatia mnaomuona kila aliyevaa kanzu na kofia ni mtu wa kusikilizwa katika .jambo ya dini.

Kusemea Uislamu unahitajia Elimu huyo Sheikh wakina Mazinge , Kipoozeo nk Waislamu tunaofutailia mambo ya kielimu hatu wazingatii kama references au watu wa maana katika dini bali ni miongoni mwa Masheik wa mchongo
NAkuelewa sana. Na nyie msimsikilize Mwamposa, Gwajima, GeoDavie na kina Mashimo.
Kila dini ina vichaa waliopinda kabisa. Wanaohubiri ujinga na maslahi yao
 
Ahsante kwa kunitag , Mimi si mtu mwenye Elimu bali mtafutaji elimu.

Huu uzi ungekuwa wa maana kama ungehusisha kitu kuhusu Qur'an au Sunnah na sio kuchukua maneno ya mtu binafsi na kuanzishia Uzi , ila tatizo ni Mgalatia wao kwao kila mtu msemaji wa Dini wanadhani kwetu sisi hali ni sawa wakati kiuhalisia sisi kuisemea dini au jambo lolote la dini Kuna misingi na mipaka yake ya kielimu.

Sijaangalia video zote ila huyo Sheikh mazungumzaji Dr Sule , ni miongoni mwa wapotoshaji wakubwa wa Dini hata mambo anayojifanya kujua ya kisayansi na kihistoria mengi tu anaongopa na kufosi uhusiano na Qu'ran , na alivuka mipaka na kuruhusu kutumia majini .

Sasa mtu kama huyo mwenye makandokando kibao haifai kuchukua jambo lake lolote katika dini na kwenye mengine inapaswa tuwe makini nae kwa sababu muongozo.

Humu Magalatia ambavyo extremists hayajui yanashangilia tu kwa vitu ambavyo Uislamu hatuhusiki navyo maana huo ni ujinga binafsi wa mtu na dini yetu inatuhimiza tusome na huyo sio msemaji wetu.
Mkuu kwani kwenye uislam hamna namna ya kuwakaanga watu kama yeye, kwa Wakristo hamna hicho kitu yeyote anaweza jiropokea lolote na asionywe wala kufanywa lolote.

Waislam mara nyingi hukemea, kupinga kwa matamko na vitu kama hivyo kwa wapotoshaji wa hiyo imani.

Hawa kina Dr. Sule ni wengi sana, wapo wale wanarekodi dvd na kuziuza ni waongo wale jamaa balaa 😂😂, na mafundisho yao wengi wanayafata na kuyaamini, hiyo ikoje au nako ni ruksa kusema kadri ya uelewa wako??
 
Nilikuwa nasikiliza maelezo ya huyu Sheikh anaeleza maana ya Los Angels mji ulioko Pwani ya Magharibi ya Marekani katika jimbo la California.
  1. Sheikh anadai kuwa Los Angels maana yake ni Malaika waliopotea (#Lost Angels).
  2. Anasema Los Angels kuna jiwe kutoka mbinguni lina ukubwa wa kilometa 12. (#Ni ukubwa siyo urefu)
  3. Anasema ni jiwe aina ya Kimondo kama cha Mbeya (#Kimondo kipo Songwe siyo Mbeya)
  4. Anasema kazi ya vimondo Mungu kaieleza katika surat jin 72:13
  5. Kwamba kuna majini wachafu walikuwa wanaenda mbinguni kuchukua taarifa na kuwaletea watu duniani
  6. Ndipo mwenyezi mungu akaandaa malaika wanaotembea na vimondo au mawe yenye moto
  7. Mawe ama vimondo yanatoka katika ozone layer
  8. Wale majini wachafu wanapoenda kuchukua taarifa wale malaika huwarushia majini hao mawe ya moto. Mawe hayo yanatembea kwa speed zaidi ya umeme au sawa na jini ama mwale wa moto.
  9. Jini anaweza toka Marekani hadi Dar es Salaam kwa sekunde 2
  10. Lile jiwe kubwa la kimondo lililoko Los Angels lilitumika kuwapiga majini wawili waasi ambao walikuwa wakubwa. Kwa hiyo lile jiwe kubwa la km 12 liliwapiga na kuwakandamiza hadi leo hapo Los Anges na hivyo kupeleke mji huo kuitwa Los Angels au Malaika waliopotea😂😂😂
Msikilize Sheikh hapa chini kwenye video
View attachment 3292204

View attachment 3292207

========
Los Angles ni mji uliko pwani ya Kusini Magharibu ya USA. Neno "Los" ni la asili ya Spanish na ni sawa na article "The" katika lugha ya Kingereza. Hivyo kwa Kingereza Los Angles ingeandikwa The Angles ama Malaika kwa Kiswahili. Chanzo cha mji kuitwa Los Angels ni wahamiaji wa Kispanish ambao waliupa mji huu jina la "El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Porciúncula,"

Kwa kifupi wanaita mji wao "Los Anges"

ama kwa Kingereza ingetamkwa

"The Town of Our Lady the Queen of Angels of Porciúncula."

Kwa Kiswahili tungeweza kutafsiri kama

"Mji wa Mama Yetu Malkia wa Malaika wa Porciúncula."

Mji huu hauna uhusiano na malaika waliopotea

Huyu Sheikh asirecord tena uongo wake kama alivyo ahidi maana ataonekana hamnazo

View: https://x.com/PolycarpMDM/status/1905553597313532369?t=50ACyzvtsdSdKKIIAUW6IA&s=19

Ignorance
 
Los==the
 
epuka matapeli! Nyumba hii haiuzwi, aaah wapi!! huyu tapeli hawezi kunizuia, bado BUKU Million; nikachukue MJENGO wangu wangu L.A ca jiji la MTONYO. huku nikiBOTTLElika kwa bebez na MVINYO.
 
Ahsante kwa kunitag , Mimi si mtu mwenye Elimu bali mtafutaji elimu.

Huu uzi ungekuwa wa maana kama ungehusisha kitu kuhusu Qur'an au Sunnah na sio kuchukua maneno ya mtu binafsi na kuanzishia Uzi , ila tatizo ni Mgalatia wao kwao kila mtu msemaji wa Dini wanadhani kwetu sisi hali ni sawa wakati kiuhalisia sisi kuisemea dini au jambo lolote la dini Kuna misingi na mipaka yake ya kielimu.

Sijaangalia video zote ila huyo Sheikh mazungumzaji Dr Sule , ni miongoni mwa wapotoshaji wakubwa wa Dini hata mambo anayojifanya kujua ya kisayansi na kihistoria mengi tu anaongopa na kufosi uhusiano na Qu'ran , na alivuka mipaka na kuruhusu kutumia majini .

Sasa mtu kama huyo mwenye makandokando kibao haifai kuchukua jambo lake lolote katika dini na kwenye mengine inapaswa tuwe makini nae kwa sababu muongozo.

Humu Magalatia ambavyo extremists hayajui yanashangilia tu kwa vitu ambavyo Uislamu hatuhusiki navyo maana huo ni ujinga binafsi wa mtu na dini yetu inatuhimiza tusome na huyo sio msemaji wetu.
Huyo sheikh ni kafiri au sio kafir?
 
Back
Top Bottom