Shehe Ponda Mahakamani BALAAAA

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
3a.jpg

9aa.jpg

12.jpg

Msafara ukianza kutoka Mahakama ya Kisutu
4.jpg

Ulinzi ulikuwa ni wa Uhakika
6.jpg

Kikosi maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKM) nacho kilikuwepo
6a.jpg

_DSC4361.JPG

Ulinzi Ukiwa umekamilika nje ya mahakama
11.jpg

_DSC4295.JPG

_DSC4288.JPG

Picha juu na chini Mfuasi wa Ponda akidhibitiwa na askari
_DSC4152.JPG

Mfuasi wa Sheikh Ponda Issa Ponda akijitetea mbele ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) baada ya kutolewa amri ya kuondoka katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Sheikh huyo ilipoanza kusikilizwa leo.
2aaaa.jpg

Wakiwapokea na kuwapongeza wenzao wanao tuhumiwa pamoja na Ponda
_DSC4001.JPG

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa malighafi zenye thamani ya Sh.milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa leo.
1.jpg

Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika basi la Magereza tayari kwa kurejeshwa Mahabusu.
2.jpg

Wafuasi wa Sheikh Ponda Issa Pondawakilifuatilia gari lililombeba kiongozi wao wakati akitoka Mahakama ya Kisutu.
3.jpg

Kundi la Wafuasi likiwa limejikusanya karibu na Jengo la Sophia House huku Polisi wakiwa kando yao.
13.jpg

Wafuasi waliokuwa nje wakiimba wakati gari likitoka
2aaa.jpg

Wengine zaidi wakitoka Mahakama ya Kisutu.Picha na Mroki Mroki na Dende JR
----
Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku Polisi wakiwa katika doria kali ya kuimarisha ulinzi katika viunga jirani na Mahakama hiyo ambayo imejizolea umaarufu mkubwa jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kwa jinsi inavyo endesha kesi na watu wa aina mbalimbali kufikishwa katika mahakma hiyo kabla ya baade kesi zao kuhamia Mahakama Kuu kwa hatua zaidi za kisheria.
 
na bado watahuzunika siku ya hukumu yake! si alijifanya kuipa serikali siku kumi kuachiliwa wafuasi wake leo ajipe mwenyewe saa ishirini na nne kuachiwa!
 
siku hiyo nzima hawakufanya kazi, wavivu hao ndo maana wanapenda kupewa mpunga wa bure. muda wote huo waliopoteza hapo wangefanya kazi si wangeingiza kipato? au wanategemea chuma ulete kama walivyozoea? acheni uvivu, fanyeni kazi, nendeni shule na pelekeni watoto wenu shule ili wapate akili. mtabaki makopo hadi lini jamani? mbona waislam wenzenu ni wastaarabu tu na wamefanya mengi tu mazuri ya maendeleo ninyi na ponda wenu atawasaidia nini?
 
Wanampa umaarufu wa bureee...wampe tu dhamana! Kesi ya mil 59 ndio itucost gharama zote hizo za escort na ulinzi kila akija mahakani! Au kuna shinikizo toka 'nje'?
 
siku hiyo nzima hawakufanya kazi, wavivu hao ndo maana wanapenda kupewa mpunga wa bure. muda wote huo waliopoteza hapo wangefanya kazi si wangeingiza kipato? au wanategemea chuma ulete kama walivyozoea? acheni uvivu, fanyeni kazi, nendeni shule na pelekeni watoto wenu shule ili wapate akili. mtabaki makopo hadi lini jamani? mbona waislam wenzenu ni wastaarabu tu na wamefanya mengi tu mazuri ya maendeleo ninyi na ponda wenu atawasaidia nini?

Wana uhuru wao mkuu,kila mtu ana uhuru wake.Hata kama una chuki si busara kutumia maneno uliyotumia.Mbona watu wakijazana kwenye kesi za wanasiasa wafuasi wao hamuwadhalilishi kwa maneno hayo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
siku hiyo nzima hawakufanya kazi, wavivu hao ndo maana wanapenda kupewa mpunga wa bure. muda wote huo waliopoteza hapo wangefanya kazi si wangeingiza kipato? au wanategemea chuma ulete kama walivyozoea? acheni uvivu, fanyeni kazi, nendeni shule na pelekeni watoto wenu shule ili wapate akili. mtabaki makopo hadi lini jamani? mbona waislam wenzenu ni wastaarabu tu na wamefanya mengi tu mazuri ya maendeleo ninyi na ponda wenu atawasaidia nini?

Wewe unawashwa na nini wao kwenda? Mbona kesi za kina lulu mlikuwa mnajaa hakuna anaekusemeni?
 
siku hiyo nzima hawakufanya kazi, wavivu hao ndo maana wanapenda kupewa mpunga wa bure. muda wote huo waliopoteza hapo wangefanya kazi si wangeingiza kipato? au wanategemea chuma ulete kama walivyozoea? acheni uvivu, fanyeni kazi, nendeni shule na pelekeni watoto wenu shule ili wapate akili. mtabaki makopo hadi lini jamani? mbona waislam wenzenu ni wastaarabu tu na wamefanya mengi tu mazuri ya maendeleo ninyi na ponda wenu atawasaidia nini?

Wewe mwenyewe umesomea wizi na utapeli tu. Ujinga mtupu.
 
These Sabean 'Sunni' Satanists wakishirikiana na serikali dhaifu ya Sultan Mangungu wa Bagamoyo wanatumia vibaya kodi yetu wavuja jasho kufanya mazingaombwe yaso tija kwa mustakabali wa taifa. Hivi haya maigizo yatesha lini?
 
siku hiyo nzima hawakufanya kazi, wavivu hao ndo maana wanapenda kupewa mpunga wa bure. muda wote huo waliopoteza hapo wangefanya kazi si wangeingiza kipato? au wanategemea chuma ulete kama walivyozoea? acheni uvivu, fanyeni kazi, nendeni shule na pelekeni watoto wenu shule ili wapate akili. mtabaki makopo hadi lini jamani? mbona waislam wenzenu ni wastaarabu tu na wamefanya mengi tu mazuri ya maendeleo ninyi na ponda wenu atawasaidia nini?
Mkuu mwalimu wetuwa shule ya msingi enzi hizo alitumia msemo huu "Debe tupu haliachi kuvuma" pindi akikuta tunapiga kelele darasani kwa maana kwamba kama kichwani kuna kitu huwezi ukaanza kupiga kelele na kujizungusha bali utatulia kwenye dawati lako na kujisomea... Sasa hawa unaowaona hapa ni madebe matupu ndo maana yanavuma... na hvyo wataendelea kuambulia peupe..
 
_DSC4001.JPG
Ili

.......Ili kuondoa vurugu na kuepuka gharama zisiozokuwa na msingi.....Hii kesi ingesikilizwa mchana na usiku mchana na usiku mfululizo..... achukue mvua zake tupumzike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom