Shehe mmoja aliletewa zawadi ya pensi kutoka Oman. Alipendelea sana kuivaa na kanzu wakati wa swala. Ilitokea siku moja Shehe alichelewa swala ya ijumaa na ilimbidi avae kanzu haraka haraka na akasahau kuva pensi. Wakati anatoa udhu miguuni alipandisha kanzu juu na makalio yote nje bila kujua, waumini wakamuuliza kwa mshangao baada ya kumuona shehe makamilio wazi. He! Vipi shehe mbona hivyo?
Shehe akajibu " he he hee MAMBO YA OMAN hayo"
Shehe akajibu " he he hee MAMBO YA OMAN hayo"