Wana jamii kutokana na tatizo la ajira nimeamua kuwa mjasiliamali,kiofisi changu kiko hapo Giraffe hotel mbezi beach,tunafungua kuanzia saa 11 za jioni,karibuni mniunge mkono,tutaweza tu kujikomboa wenyewe