Humu ndani tunaongozwa kwa misingi ya sheria na taratibu zilizowekwa na jukwaa. Naamini umekubaliana na taratibu hizo na kujiunga.
Ndani ya jukwaa/mtandao huu utaona majukwaa mbalimbali mfano:- Hoja na Habari Mchanganyiko, Mapenzi Mahusiano na Urafiki na Matangazo Madogo.
Ukihitaji mchumba utadadavua kupitia Jukwaa dogo la LOVE CONNECT kupitia Mapenzi, Mahusiano na Urafiki endapo ukihitaji kuuza kishkwambi chako utaeleza kupitia Matangazo Madogo.