Weka kapicha na namba ya simu.Nipokeeni.
Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema.
Mfano nikitaka mchumba napataje....
Nikitaka kutangaza nauza simu yangu nafanyaje....n.k
Nipokeeni.