SHEDEDE nabisha hodi humu!

SHEDEDE

JF-Expert Member
Feb 6, 2021
339
551
Nipokeeni.

Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema.

Mfano nikitaka mchumba napataje....
Nikitaka kutangaza nauza simu yangu nafanyaje....n.k
 
Weka kapicha na namba ya simu.
 
Karibu! SHEDEDE

Humu ndani tunaongozwa kwa misingi ya sheria na taratibu zilizowekwa na jukwaa. Naamini umekubaliana na taratibu hizo na kujiunga.

Ndani ya jukwaa/mtandao huu utaona majukwaa mbalimbali mfano:- Hoja na Habari Mchanganyiko, Mapenzi Mahusiano na Urafiki na Matangazo Madogo.

Ukihitaji mchumba utadadavua kupitia Jukwaa dogo la LOVE CONNECT kupitia Mapenzi, Mahusiano na Urafiki endapo ukihitaji kuuza kishkwambi chako utaeleza kupitia Matangazo Madogo.
 
Ili uimalike vizuri JF.. Kasome uzi wa kula tunda kimasihara...

Ukitoka hapo kasome uzi zote za mshana jr.. Hapo utajua maana ya uchawi..

Ukimaliza tu mtafute habibu na nyuzi zake za upelelezi..
Nipokeeni.

Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema.

Mfano nikitaka mchumba napataje....
Nikitaka kutangaza nauza simu yangu nafanyaje....n.k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom