Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
thax kwa ushauri dada kesho hakuna aijuae , mpe mnyamwezi wako poleIt is very true, lkn what good can it do tukimsaidia kujutia maamuzi yake ya nyuma?
Every decision has a consenquense, ingawa zaweza zidiana. Kuna series moja ninaiangalia unaitwa "day break"; inahusu jamaa anae experience déjà vu; ameiishi siku moja over and over again, na anapojaribu kubadilisha machaguo bado anakutana na kitu kibaya mwishoni, au mpenzi wake auwawe au dada yake au rafiki zake au yeye mwenyewe afungwe etc.
So my bro alimuoa mkewe, na kumuacha binti wa kitanga; who knows (kama wadau walivyosema), angekuwa yeye ndio kaupata huo ugonjwa si na kaka yangu angeambukizwa?
My bro met his lover wakati hawakuwa vizuri na mchumba wake; so it was only natural kuona kuwa new girl is superb. Angepata nafasi ya kukaa naye kwa muda mrefu kama alivyokaa na mchumba wake huenda asingemuona a saint kivile; who knows.
So Smile dear, kumbatia kila day na u-count your blessings kwani hakuna kitu smooth (happily ever after) labda kwenye fairly tales tu.