Huo mstari wa njano ndo sijaweza kuusoma kabisaaa,hii sadolin ni noma kwakwel.Sababu umemkubalia just relax.
Sema hii sadolin ni noma
"Kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapo"Huo mstari wa njano ndo sijaweza kuusoma kabisaaa,hii sadolin ni noma kwakwel.
Dah... asante kwa ufafanuzi, sikua nimemwelewa mwanzo"Kama ulishawah kukutokea hii hali tushare mawazo hapo"
Naona fundirangi anaonesha ujuzi wake JF
Ila jamaa kavurugwa vibaya huyu.Dah... asante kwa ufafanuzi, sikua nimemwelewa mwanzo
Ha ha ha ha umenichekesha eti sadolin kitu rainbowSababu umemkubalia just relax.
Sema hii sadolin ni noma
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mapenzi yakikuvuruga haya ndo madhara yakeHa ha ha ha umenichekesha eti sadolin kitu rainbow
Nafuu umesema wewe khs huu ushoga.Umeandika kishoga sana! sijui ndo athari za kibuti
Hahahaahaaaa wewe!!! umenifanya nicheke kwa sauti .We ni Fundi Rangi?
Mi nilidhani ni coral paintsSababu umemkubalia just relax.
Sema hii sadolin ni noma