She wants to Abort..!!!?

Ahsanteni wote kwa ushauri wenu, nilichokiamua ni kwamba kama hata nisikiliza ndio basi tena huo utakuwa mwisho wa penzi letu.
Nimewahi kusikia watu wakisema kuwa huyu binti ana mambo ya kishirikina lakini sikutilia maanani sasa napata picha kamili huenda anafanya hivyo kwa matumizi fulani.
I will no longer love her again.
 
Mmeshapima ngoma?maana inawezekana ni victim na anajijua

ngoma tulipima mwezi wa 12 kila mtu yupo safe.
yaani ni kero tupu jana jioni nimekaa naye nikamweleza mabaya na uamuzi nitakaochukua endapo ajaitoa hiyo mimba lakini kawa mkali na ananiletea vurugu, kwa kweli huwa sipendi kupigana lakini kwa jana nimethubutu kumtia vibao vitatu.
 
Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!

Hata kama ni hivyo..ndo atoe mimba? me kashakubali atamuoa na anamlazimisha actoe yy hataki! Huyo ni mzoefu banaaa hana point.
 
ngoma tulipima mwezi wa 12 kila mtu yupo safe.
yaani ni kero tupu jana jioni nimekaa naye nikamweleza mabaya na uamuzi nitakaochukua endapo ajaitoa hiyo mimba lakini kawa mkali na ananiletea vurugu, kwa kweli huwa sipendi kupigana lakini kwa jana nimethubutu kumtia vibao vitatu.

Jamani mmefikia kuchapana makofi!! co fresh, acyeckia la mkuu..muache afanye atakalo, achana nae muuaji huyo.
 
Ukiona mtu anataka kukuacha na anakuita kukuambia ujue bado anakupenda. Kwani ukikaa kimya tu si anapata msg sent haraka zaidi?
Cc jambazi Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Anamlazimisha kwa maneno? Kama yuko kwenye kuoa si aanze kujadili ratiba ya kuona wazee? Ila ikishafika mahali kama hapo bora muachane tu.
Hata kama ni hivyo..ndo atoe mimba? me kashakubali atamuoa na anamlazimisha actoe yy hataki! Huyo ni mzoefu banaaa hana point.
 
Anamlazimisha kwa maneno? Kama yuko kwenye kuoa si aanze kujadili ratiba ya kuona wazee? Ila ikishafika mahali kama hapo bora muachane tu.

Kutoa mimba co kitu rahisi unajua, iweje awe faster kuamua hivyo? hana lengo la kukaa na hiyo mimba.
 
Kwani wameoana mpaka azae nae? Wengi hawapendi kuzaa nje ya ndoa, aoe kwanza kisha ndio aje kulalamika
 
Sheria inasema: mimba ikitolewa, mtoaji na aliyetoa hukumu yao ni kifungo cha miaka 17.nadhani kama unamfahamu huyo daktari ukimkumbusha hili ataahirisha zoezi.
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.

Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.

Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.

Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.

Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?

Ushauri wenu pia.
 
Je sheria ya Tanzania inasemaje endapo mke ama mpenzi wako atautoa ujauzito bila ridhaa yako?
Nini kifanyike ili kunusuru jambo kama hili?
Ana umri gani?? uko katika hatua gani kimasomo? na yeye ni mwanafunzi au la?? majibu yako yataonyesha ni kwa nini anafikiria kuabort jibu tupate picha kwanza
 
Ana umri gani?? uko katika hatua gani kimasomo? na yeye ni mwanafunzi au la?? majibu yako yataonyesha ni kwa nini anafikiria kuabort jibu tupate picha kwanza

ana miaka 26, mie 29.
Ana wish kumaliza chuo mwezi wa sita mwaka huu.
Tumeishi wote kwa muda wa mwaka mmoja sasa.
Wazo la kumwoa mie lipo ili mwenzangu huwa simweli kabisa.
Ila nilichoamua ni kuachana naye kabisa nitafute mke wa kweli.
Siwezi kuishi tena na huyu muuaji wa wanangu.
 
We mwambie kuwa mimba za kwenu huwa hazitolewi na anayetoa ni lazima anakufa then unatulia kabisa na ikiwezekana badili tabia kwani yawezekana kuna kitu kakigundua kwako ambacho kinampa wasiwasi.Mf.yawezekana una kabinti kengine kama siyo vibinti vingine vingi.Kwa heri
 
Daaa hii kali aisee..
Kayoka.. Kwa tarehe ulizotoa itseems hyo mimba ina miezi 7..

Kwa matabia hayo wewe achana nae akitoa poa asipotoa Mshukuru Mungu.. But naona kama anatishia nyau..muda wote huo mbona hatoi anaishia kubwabwaja??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu kumbuka hii ni mimba ya pili, ile ya pili alishaitoa na nikamsamehe.
 
Last edited by a moderator:
Watu mnakosa shughuli za kufanya,unamlazimisha mwanamke azae?
'
Hivi wanawake hawapo duniani?
'
Unatafuta msaada wa kisheria ili iweje?Kwanini? Na kwa mantiki ipi?
'
Acha utoto wewe!
 
Watu mnakosa shughuli za kufanya,unamlazimisha mwanamke azae?
'
Hivi wanawake hawapo duniani?
'
Unatafuta msaada wa kisheria ili iweje?Kwanini? Na kwa mantiki ipi?
'
Acha utoto wewe!

ni mawazo yako tu...!
Toa maoni yako nini kifanyike.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom