She wants to Abort..!!!?

Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.

Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.

Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.

Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.

Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?

Ushauri wenu pia.
Unafanya kazi gani ?na unahela ya trust fund ya mtoto ya college na life insurance yako ili ikikutokea jambo kifo mtoto asiteseke.Nyumba yako au ya kupangisha ?Is there inheritance kwa wazazi wako .Kuzaa kutegemea mshahara tu bila investment sio mzuri .Abortion Pia sio nzuri especially unamtaka mtoto .Ina cost 20,000 dollar a year mtoto
 
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.

Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja. August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma. Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.

Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha. Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.

Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.

Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?

Ushauri wenu pia.
Mwambie azae akupe full custody ya mtoto mlipe 25 million dollars .Michael Jackson did why not you?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom