Instructor mwenyewe ana epitomize "unhealthy", hebu angalia lilivyo likubwa na kitambi. Halafu hao wanawake mbona wanatuaibisha wenzao, in that position kama hutaki si unafyatua tu teke moja linamtosha? Why are they maintaining the pose?
Nimeipenda hio red, kumbe wewe ni she?
Sio walimu wote tuko hivi mimi ni mwalimu safi karibu kwenye gym yangu kama uko hapa AFGANISTAN
Nsha ku pm na kuku email soma na u reply
MMh! From nao on... lazima nimpe waifu full eskoti... simuachi aende gym mwenyewe...maana wabongo wakishaona hv hawakawii kuiga....na kuanza kupractise kwenye gym zao.. weeeee eti nikumkute huyo instructor sijui ndio kafanya hivyo kwa my waifu.. si BWANA ANATWAA roho yake hapo hapo...alaaa kwani ameambiwa anataka kuishi miaka elfu mbili aende huko na yoga sijui uyoga wake